Habar wa Udaku
Polen na majukumu. Hivi karibun nilikwenda kuhakiki course work yangu
kwa mwalimu husika wa somo hilo lakini nilikuwa napigwa danadana.Kila
nikienda ananiambia anahudumia watu wengine nakunipangia muda wa kuanzia
ucku.
Mara ya kwanza aliniambia atanijazia lakini naye kuna kitu anakihitaj
kutoka kwangu.............nilipo hojo ni kitu gana akaniambia
ninakimiliki mwenyewe na hakihitaji tume kuamua, Nikaondoka nakurudi
tena zaidi ya mara 3 nakuahidi kuwa atanijazia lakini cha ajabu
Nilipokwenda kwa Hod bado haikubadilishwa, nikaamua kurud kwa mwlm lkn
kilichofuata nikunichania nguo nakutaka kunibaka oficin kwake
nilijinasua lkn nijigonga kwenye ukuta na kupasuka puan.
Naomba mnisaidie wana udaku maana nimelirudisha swala hilo kwa Hod lakin
nae amesema atalirudisha kwa mkuu wake.Nilimrekod katika simu mara zote
nilipokwenda kwake isipokuwa siku ambayo aliyonichania skintight na
kutaka kunifanyia huo unyama..............!
Naomben msaada wenu pliz coz mm na yeye tumefikia pabaya sana.
Thursday, June 21, 2018
Lecturer Alinifungia Ofisini,Alinichania nguo Nakutaka Kunibaka
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment