Mwanaume mmoja mkoani Mtwara amekaa na mwanaume mwenzake miezi minne bila kujua.
Kwa mujibu wa maelezo mahusiano yalianza baada ya kukosea namba
wakafahamiana mpaka wakafikia maamuzi ya kuoana huku akijua ni wa kike.
Baada ya kufata taratibu wawili hao wakaoana lakini tatizo likaja wakati
wa kujamiiana mwenzake wakawa kilasiku anasema anaumwa ikawa hivyo
ndani ya miezi mitatu ndipo akaja gundua kuwa ni mwanaume mwenzake.
Kuhusu mavazi anasema mwenzake huyo huvaa kama mwanamke na kupika pia
anajua hata kujiremba anajiremba hali iliyo mpelekea kutogundua.
Thursday, June 21, 2018
Mwanaume Amwoa Mwanaume Mwenzake Bila Kujua
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment