Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye.
Ni tabia mbaya sana unakuta mtu mzima eti anajitamba mbele za wanaume
eti "mimi bwana mwanamke hawezi niuliza niko wapi" sasa ndugu yangu wewe
ndio ulimtongoza mwenyewe tena ulimsumbua hasa msichana wa watu leo hii
anakupigia simu anakuuliza uko wapi unaanza kupanic.
Tusifanye vitu ili kuwaridhisha washkaji huko viringeni...tufanye vitu
kuwaridhisha wake zetu.... imefikia wakati mwanaume usipokaa bar mpaka
saa nane au saa saba usiku unaonekana bwege na ukiangalia ligi ya ulaya
sebleni kwako na mke wako unaonekana bwege pia...au usipokua na demu wa
nje eti wewe sio mjanja. huu ni upuuzu tubadilikeni jamani. ndio sikatai
usikae na washkaji lakini usipitilize sasa.
Naona huruma sana unakuta mtu kavaa lipete likuuubwa la ndoa amekaa bar kwenye kiti anasinzia..jamani ?
Wednesday, July 25, 2018
Home
/
Unlabelled
/
Usikubali Kuogopa Kumuonyesha Mke au Girlfriend Wako Unampenda Kisa Unaogopa Washkaji Watakuona Bwege
Usikubali Kuogopa Kumuonyesha Mke au Girlfriend Wako Unampenda Kisa Unaogopa Washkaji Watakuona Bwege
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment