Juzi kati nilijumuika na watu wa on transit to Marriage....
Moja ya agenda ilikuwa ni wimbi la mapenzi kinyume na maumbile, nini
sababu kama vijana, Tumefikaje hapa? Uzoefu wa wanaotumia hii kitu nk.
Hatimaye overview ikaja na mtizamo wa kila mwanaume ukaonesha iwe mvua
au masika hakuna mwanaume anayekusudia kuingia ndoani na mwanamke
anayeruhusu huo mchezo.
Hivyo ukiombwa na mtu wako hiyo huduma kuna 2 au laa, mosi anataka kujua
kama ni muumini wa hiyo habari, Ukijifanya unampenda sana so unampa
basi atakula huo mzigo na utakuwa umefuzu kuto kuiona ndoa kwenye miaka
ya hivi karibuni.
Kila mwanaume anataka mwanamke mwenye staa ya hali ya juu kuja kuwa mama
wa wanae. Ila ukimpa anaipuliza tu na utajijua mwenyewe ukimnyima
unakuwa umefuzu hatua ya makundi kuelekea kwenye ndoa.........
Wednesday, July 25, 2018
Home
/
Unlabelled
/
Ukiona Mpenzi Wako Anaomba Kuruka Ukuta na Ukampa..Basi Ndoa Kwako Utaisikia kwa Wenzio
Ukiona Mpenzi Wako Anaomba Kuruka Ukuta na Ukampa..Basi Ndoa Kwako Utaisikia kwa Wenzio
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment