Kila
mwanaume anapenda kua fundi wa tendo la ndoa akiwa faragha na mke au
mchumba wake lakini bahati mbaya sana hakuna kanuni maalumu ya
kumsisimua mwanamke kwani kila mwanamke ana eneo lake ambalo likiguswa
anakua taabani hivyo ni wajibu wa mwanaume kulitafuta na kuligundua eneo
hilo.
Mazoea
ya kufanya mambo yaleyale kila siku kwa muda mrefu hufanya tendo hilo
la ndoa lianze kua baya na huenda ikawa chanzo cha mtu kuchepuka
kutafuta ladha zingine.
Kitaalamu
katika sayansi ya binadamu kuna maeneo kadhaa ambayo wanawake wote
wakiguswa hupata msisimko mkali lakini msisimko hutafautiana kutokana na
mwanamke husika kama ifuatavyo.
1. Kichwani.
Juu
ya kichwa cha binadamu kuna mishipa mingi ya damu na ile ya fahamu
hivyo maeneo haya yakishikwa homoni kama oxytocin na serotoinin huachiwa
mwilini na kuleta msisimko mkubwa.
Jinsi ya kufanya; mshike kwanzia nyuma ya sikio kisha ingiza vidole katikati ya nywele kama unamkuna kichwa bila kutumia nguvu.
2. Sikio.
Sikio
ni sehemu yenye mishipa ya fahamu inayoenda kwenye ubongo, mara nyingi
sikio watu hua wanalipuuza sana na kuzani halihusiki lakini naomba
nikwambie ni moja ya sehemu inayoweza kumfanya mtu achanganyikiwe.
Jinsi
ya kufanya; anza kwa kumnong'oneza kwa sauti nzito, kisha libusu sikio
lake baada ya hapo unaweza kulamba sehemu ya sikio la nje na baadae
kuingiza ulimi ndani ya sikio kabisa. hapa msisimko ni mkali sana na
anaweza kukukwepa na kutoa sauti kali ya kimahaba.
3. Ulimi
Ulimi
ni sehemu ya mwili ambayo ina mishipa mingi mara mia moja zaidi kuliko
ile mishipa ya fahamu ya viganja vyetu. msisimko wa ulimi unasababishwa
kumwagika kwa homoni ambazo zinatuletea furaha ya mioyo yetu.
Jinsi
ya kufanya; busu tu inatosha kusisimua ulimi wa mtu wako, bahati mbaya
kuna watu hawajui kubusu. ukiwa unabusu mtu usipanue mdomo mzima kama
samaki mfu... fungua mdomo wako kidogo kisha nyonya lips za juu wakati
mtu wako ananyonya za chini na hii ndio busu linavotakiwa kua.
4. Shingo;
Hii
ni sehemu ya mwili yenye ngozi laini sana ambayo inasisimka hata kwa
kuipumulia tu na pua. ni moja ya sehemu nzuri sana kunyonya, kulamba na
kubusu.
Jinsi
ya kufanya; ukiwa umemkumbatia mtu wako basi busu upande wa kulia au wa
kushoto wa shingo huku ukinyonya ngozi la eneo hilo.
5. Chuchu;
Wanaume
wengi wanatumia sehemu hii kama sehemu kuu kumsisimua mwanamke, ni
kweli kabisa tafiti zinaonyesha kwamba sehemu ya ubongo ambayo
husisimuka chuchu za mwanamke zikiguswa ni sehemu hiyohiyo ambayo
inasisimka kinembe na uke vikiguswa. kwa hiyo ni moja ya sehemu muhimu
sana.
Jinsi
ya kufanya; tomasa matiti yote ya mwanamke kwa kutumia mikono yako
miwili kisha nyonya chuchu yake taratibu huku kama unaing'ata na
kuiachia. badilisaha kwa kuchocha chuchu ya kulia na kushoto.
6. Kiuno au mgongo wa chini;
Kama
umechunguza ni kwamba wanawake wengi husisimka sana wakiguswa viuno
vyao ghafla hata wakati wa kukumbatiwa tu. hii ni sababu ya mishipa ya
fahamu inayoenda hadi kwenye sehemu zake nyeti hupita huko.
Jinsi
ya kufanya; tomasa kama unafanya masaji sehemu ya chini kabisa ya kiuno
kabla makalio hayajaanza. hii itamfanya arelax sana lakini pia kuongeza
damu kwenda sehemu zake nyeti tayari kwa tendo la ndoa.
7. Tumbo;
Tumbo
ni sehemu ambayo watu wengi hawaitilii manani sana lakini misuli ya
tumbo imeungana na uke moja kwa moja ndio maana baadhi ya wanawake
hufika kileleni kwa kufanya mazoezi ya tumbo kitaalamu kama core
exercises..
Jinsi
ya kufanya; tomasa tumbo lake kwanzia juu kabisa ya tumbo na kwenda
tumbo la chini na kisha busu taratibu maeneo mbalimbali ya sehemu ya
tumbo na unaweza kumalizia kwa kunyonya kitovu.
8. Katikati ya mapaja
Hii
ni sehemu yenye msisimuko mkubwa kwenye mwili wa mwanamke, watu
wanaondesha magari wanajua siri hii kwani wakimpakia mwanamke wanatumia
njia hii kumsisimua kwa kuweka mkono mmoja kwenye mapaja yake.
Jinsi
ya kufanya; shikashika sehemu za katikati ya mapaja kwanzia magotini
kwenda mpaka karibu na uke.unaweza fanya hivyo wakati ukiwa unambusu.
9. Nyayo za miguu.
Nyayo
za miguu zikiguswa hata kwa mtu ambaye sio wa kike zina msisimko sana
kama wa kutekenywa hivi na sina msisimko mkubwa kuliko sehemu nyingi
nilizotaja.
Jinsi
ya kufanya; shika nyayo moja ya mguu kisha kwa kutumia viganja viwili
tomasa katikati ya mguu kwanzia kwenye kisigino mpaka kwenye
vidole.usitumie nguvu nyingi...
10. Kinembe ;
Hii
ni sehemu ya mwanamke ambayo kazi yake ni kuleta msisimko tu na raha
kwa mwanamke..eneo hili linazaidi ya mishipa ya fahamu 8000, ni eneo
dogo sana lakini shughuli yake sio ndogo. naweza kusema ndio eneo lenye
msisimko mkali kuliko yote niliyotaja hapo juu na likiguswa tu mwanamke
analoana kabisa.
Jinsi
ya kufanya; kidole chako kikubwa cha kinganyani bonyeza na kuachia
sehemu hiyo kama mtu anayekagua parachichi pia sugua kwenda chini, juu
na pembeni kuangalia muhusika anapenda wapi zaidi pia kama una uhakika
na usafi au afya ya muhusika unaweza lamba lwa kuzungusha ulimi sehemu
hiyo.
Mwisho.
Sehemu
zote nilizotaja hapo juu ni muhimu sana kwa ajili ya kumuandaa mwanamke
japokua kila mwanamke anapata msisimko zaidi kutokana na yeye mwenyewe
alivyo yaani mwingine shingo linaweza kua na msisimko wa kawaida
likiguswa lakini mwingine ikawa msisimo mkali zaidi.
Wednesday, August 8, 2018
Hizi ni Sehemu 10 Zenye Msisimko Zaidi Kwenye Mwili wa Mwanamke
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment