MPENZI
msomaji wangu wa safu nalazimika kukuletea mfululizo wa safu hii
kutokana na maombi ya wadau mbalimbali hasa wasomaji wa safu hii au
mambo haya na wale wachangiaji katika mitandao mbalimbali ukiwemo
mtandao wa MABADILIKO ambako pia mimi ni mmoja wao na ninaamini kuna kisima cha mawazo endelevu na somo hili la mahusiano tunaendelea nalo.
Nawashukuru
wote tulioweza kuwasiliana mkipongeza safu hii kupitia simu zenu za
viganjani na baadhi tukishauriana ili kuweka sawa na kusuluhisha baadhi
ya migogoro ya kimahusiano ambapo leo kama nilivyowaahidi kuwa
tutazitazama dalili za mwanamke anapotaka ngono.
Kwaza
kabisa nikujulishe kuwa kitaalam mwanaume huwa anawaza ngono kila baada
ya sekunde sita huku akiwa za mahala pa kufanyia tendo hilo wakati
mwanamke huwaza ngono kila baada ya sekunde tisa na akikubali kuvua nguo
ni lazima awe na sababu za msingi.
‘’Mimi sijisikii kufanya mapenzi’’
hii ni moja kati ya kauli ambazo wanaume huambiwa na ukisikia hivyo
ujue si peke yako unayeambiwa hivyo na hii ni kauli inayolalamikiwa sana
na wanaume wengi ambapo baadhi yao wamediriki hata kuchepuka wakidhani
wenzi wao wamewachoka, hapana, bali mwanamke kuna wakati anatamani
kufanya tendo hilo na makala haya inakufungua.
Wanawake
wanapagawa na huhitaji kufanya mapenzi kuliko wanaume wengi
wanavyodhani na ukijua mazingira hayo walai hautamwacha mwanamke wako
naye hatatamani mwingine kwasababu wanawake wanajieleza wazi kuwa katika
mazingira nitakayoyataja hapa chini yakifuatwa wanajisikia raha mno…
1. Mfurahishe
Hali yeyote ya furaha kupita kiasi inamfanya mwanamke kuwa na nafasi nzuri zaidi ya kufanya mapenzi bila kizuizi chochote.
2. Baada ya kuzozana
Kugombana
ninakozungumzia hapa ni kule kwa pande mbili mnakwazana na baadaye kila
upande ukatoa dukuduku zake hata kama kwa kufikishana kwa wakubwa kwa
nia ya kupata muhafaka na baada ya hapo hakuna kitu kizuri cha
kubadilisha upepo huo zaidi ya kukumbatiana, kubusiana kwa huba huku
mkiziamsha hisia zenu.
Ukiona
hata kama mwanamke wako analia au ameghafirika kwelikweli, mwache
anyamaze au mnyamazishe huku ukimbembeleza hata kumfuta machozi kisha
…….hapo tatizo linaisha na wakati huo wote kwa pamoja mtafurahia tendo
hilo.
3. Siku ya 14 (Heat Period)
Wataalam
husema kuwa hiki ni kipindi cha joto kwa mwanamke, ni kipindi cha aina
yake katika mahusiano ambapo mwanamke anakuwa na hisia nyingi wakati
mayai yanapotungwa. Hivyo zikiwa zimepita wiki tatu baada ya kumaliza
Afya yake ya ‘’uchinjaji kisha damu kukauka’’
wakati huu ni muhafaka kufanya mapenzi na hata kama mwanaume ni mbishi
kiasi gani au umechoka mwanamke atakuamsha na kukutega na mara nyingine
atakueleza kuwa anataka.
4. Mapenzi ya Mbali.
Mapenzi
ya mbali yanaweza kuwafanya mkawa na maisha yasiyokuwa na migogoro ya
mara kwa mara huku kila mmoja akiwa anamtamani mwenzake huku kitu pekee
kwa wakati huu wa utandawazi kinachoweza kuwaunganisha zaidi ni simu na
internet.
Mkikutana
siku hiyo kila mmoja anamtamani mwenzake na kama ni asubuhi mtaona siku
haiendi haraka hasa kwa wale wenye familia na kama mtakuwa wawili
katika chumba ama nyumba hiyo aaaaaaahhhhh hiyo niwape hongera kwasababu
hamtakawia hata sebuleni.
5. Wivu
Ninachozungumzia
hapa si ule wivu wa kijinga bali nazungumzia wivu wa mwanamke
anayejitambua na kujiamini kuwa anamtii, kumnyenyekea na kumshauri kwa
hekima mwanaume wake lakini anapata wivu anapoona mwanaume huyo yupo na
mwanamke mwingine hata kama si katika mahusiano. Si unajua kila mtu ana
moyo wa nyama? Hasa ukipenda, weeeeeee acha tu!
Mwanamke
anapoona mwanaume wake ananyemelewa na mwanamke mwingine na kumshawishi
kimapenzi huona wivu sana na wanawake wanaojitambua badala ya kufoka
huamua kuwaonyeshea wanaume wao kitandani kwa kuwapa mapenzi motomoto
huku wakionyesha stahili na kuonyesha kujiamini kuwa ni wazuri kila
upande yaani sura, maumbile na hata kitandani kuliko wale
wanaomnyemelea.
Hapa
siruhusu wanaume kuwa vicheche ama kuambatana na wanawake wengine bila
sababu eti tu unataka mwanamke wako akuonee wivu hapana hii ni mbinu ya
kuotea maana kumrusha roho mtoto wa mwanaume mwenzako si vema.
6. Mwanamke kujinyima
Kadri
mwanamke anavyozidi kukaa muda mrefu bila kufanya usodoma na ugomora,
ndivyo anazidi kupata ashki ‘’Nyege’’ na mwanaume unapompata mwanamke
aliyekaa muda mrefu hakika utafaidi na yeye pia atakuweka kwenye
historia maana atajisikia raha sana baada ya tendo hilo.
Na
mwanamke wa namna hii haitoshi kuwa mmefanya tendo la ndoa siku moja
huyu atahitaji walau siku mbili vinginevyo ukimwacha atachepuka ingawa
ni wachache wanaoamua kufa kisabuni na kuamua kutumia maji ya moto
kujikanda.
7. Mawazo
Mwanamke
ambaye amekuwa na mawazo kwa muda mrefu akihitaji faraja na akakosa
hatimaye Mungu na malaika wake wakamwangazia nuru na kujikuta mikononi
mwa mwanaume anayeweza kumpa mapenzi yatakayomfariji hakika mwanamke
hufurahia tendo hilo ambalo anahisi linakata kiu yake na kushusha pumzi.
8. Mbunifu wa Mazingira
Wanaume wengi wanawanyima uhuru wa mazingira wanawake zao huku wakihoji ‘’ameyapata wapi haya’’ nakushindwa kujua kuwa huo ni moja ya mtego wa kutaka mapenzi.
Mwanamke
anaweza kukutaka mfanye mapenzi jikoni, bafuni, sebuleni kwenye kiti au
popote pale na kama amekupagawisha vizuri katika penzi la jikoni kuna
siku mnaweza kujikuta mkiacha chakula kikiungulia huku nyie mkiwa mnatoa
jasho la Afya na hapo mwanamke atafurahi kwasababu mtego wake wa kwale
haujanasa chui.
9. Muziki na Kinywaji
Kucheza
muziki na wengine wale ambao wanapata kidogo kinywaji ni moja ya mambo
ambayo yanasisimua mwili na kuamsha hisia za mahaba kwa mwanamke.
Hapa
kwa mwanaume unaweza kumchukua mwanamke wako na kwenda naye kwenye
kumbi za Muziki kwa Sumbawanga wakati ule sijui kwa sasa kulikuwa na
ukumbi wa Upendo View, Mbeya zipo nyingi ikiwemo Mbeya Carnival, Pamodz
wakati Dar es Salaam kumbi ni bwerere. Wakati mnacheza jaribu kugusana
ama kupapasana taratibu hapo mwanamke yeyote mradi akikubali kupapaswa,
mambo yanakuwa si mambo.
No comments:
Post a Comment