Ni kitu kinachofahamika kutokana na utafiti kuwa wanawake
wengi hawaridhishwi kihisia kwasababu utendaji wa wanaume wengi
kitandani umepungua.
Haijalishi unampa nini mkeo au mpenzi wako, kama huwezi kumridhisha,
ataendelea kutokuwa na furaha, mlalamikaji na wakati mwingine kama
akijaribiwa nje, huenda akajaribu bahati yake kwingine.
Tena kama mpenzi wake kabla ya kuolewa alikuwa akimtosheleza,
usishangae akamtafuta kokote aliko kukumbushia (hata kama hana lolote).
Wakati mwingine wanawake hufeki maneno matamu ya pongezi ili tu
kukupa moyo kuwa umefanya kazi nzuri. Cha ajabu hii imewafanya wanaume
wengi kuboresha game yao na kujiamini.
Kipi kinachowapa udhaifu wanaume?
1. Kejeli kutoka kwa wanawake wao
Wanawake wengine hulalamika kiasi cha kuwaambia wapenzi wao bila
kuficha kuwa hawana lolote kitandani. Katika hali hii, wanaume
hujisikia aibu kiasi cha kupoteza kujiamini kwao. Hii inaweza kuwafanya
wengine kuanza hata kuchelewa kurudi nyumbani kuepuka fedheha.
2. Uoga wa kumaliza haraka
Kufika kileleni haraka hutokea pale mwanaume anapoutua mzigo mapema
wakati wa kufanya mapenzi kabla ya kumridhisha mwenzake. Wanaume wengine
hupania na kuwa na wasiwasi. Hii inaweza kupelekea kumaliza haraka hara
kabla mwanamke hajaridhika.
3. Upungufu wa nguvu za kiume
Utafiti unaonesha kuwa takriban wanaume milioni 30 duniani huathirika
kila mwaka na tatizo hili. Hii ni hali ambayo uume husinyaa wakati wa
tendo la ndoa na kupunguza ugumu unaohitajika. Tatizo hili hukosesha
raha na husababisha msongo wa mawazo.
No comments:
Post a Comment