Kilicho chema ni chema hakibadili tabia!Busara na nia
njema"ALLAH"Amekujaalia ALLAH akupe salama na nyota kukung'aria Asojuwa
kukupenda hana Raha ya dunia.
(2Moyo hauna nafasi kwa pendo lilo na nia, sijali wala sihisi kwako
nimejitolea, kwangu toa wasiwasi sishindwi kukuridhia, kwa yangu hii
nafasi moyo umekuchagua)..............
3Penzi langu maarufu nakupa unienzie,
Tena ni penzi nadhifu hilo lazima ujue,
Wala si penzi la khofu wasiwasi likutie,
Ni penzi la insaaf nampa nimpendae,Kama kupenda mauti kwako
nitayarikufa,kama kupenda maradhi dawa kwko natafuta, kama kupenda
bahati mwenzako naitafuta ,naomba nipe nafasi mwenzako nataab
Na wala sitampa mwengine asiyefanana na wewe..
LÖVEika.ILOVE..............
4RAHA YA WAPENDANAO VIZURI KULIWAZANA, KUDUMISHA PENZI LAO NA
MOYONI KUSHIBANA,
HUWA 1 LENGO LAO KW NIA KUSAFIANA,
ZAWAD YNG YA LEO NIKUA KW AJILI Y ALLWANAO ISIFU ASALI NITAMU NADHANI
WAMEPOTEA. HUWATIA WATU HAMU MACHO KUIKODOLEA. KUNAVINGI VITAMU WATU
HAWAJAVIJUA KWANZA NIYAKOSALAMU MM NAIZIMIKIA AS.ALAH
'N'A'K'UP'E'ND'A'SANA'
AYKUM MY SWEAT................
5....Kukaa kimya siwezi bila kukusalimia, Na naomba kwa Mwenyezi
mazuri kukufikia, Yarabi atakuenzi katika hii ndunia, Mola kwa yake
Mapenzi Peponi utaingia. "AMIN" ........
6...Nuru ya Allah iliyo Mbinguni.Imulike kwako,Mola akutimizie
mahitaji yako,riziki ya halali iwe pato lako,Hasad iwe ngeni kwako.kukaa
na watu vyema iwe ngao yako.kila zito,liwe takhfif kwako.Na inshaallah
jannat Firdaus iwe pepo yako.Amin,tuma dua hii kwa watu 7 sasa hivi
utaona majibu mazuri kwaizini ya allah......
7........Hakika ulipozaliwa ulikuwa unalia, wakati waliokuzunguka
walikuwa wanatabasamu! Ishi maisha yako kwa unyenyekevu na ukamilifu!
Ili utakapokuwa unaingizwa ktk mwanandani uwe peke yako unaetabasamu!
Ilhali waliokuzunguka wakilia! Hakuna kinachoitwa kuchelewa ktk jambo
jema! Anza sasa!,,,,,,,,,
8.........Kwä wéma ümétìmìä,kwä ükärìmü ñäküsìfìa,hékò kwä
älìyèküzää,shùkräñ kwä alìyékülèa,pépö yà fìrdäüÇ ütäìñgìä hìì ñì düä
ñäküömbéa.
Améèñ........
9........Nnakualika kwenye happy birthday yng,itayfnyika
ktndani,kuanzia 3usk -3as,mlishwaji keki isiyo oza ni ww na shughuli
zote utakamilisha ww.UKILALA FIKRA ZOTE ZIWE KNG.G9T H...,,,,,,,,,,,,,
10.........YaRabb!Huyu ni mja wako anaesoma msg hii Akikusahau Usimsahau,
Akikosa Msamehe,
Akikuomba Mtakabalie,
Akitamani lenye Kheri Mpe,
Akiugua Mfutie Dhambi zake,
Akikasirika Mpe Subra,
YaRabb Mjaalie awe mja wa Peponi,
Mwepushe na balaa zote na Umpendezeshe kwa viumbe wote.Asubuhi njema .,,,,,,,,,,
11.......NIPO NIPO KITANDANI,UBAVUNI HUNIONI.DOZI NIMEKULETEA
KWANZA BUSU LA SHVUNI.PILI NAKUKANDA MWILINI. NAKURAMBA KICHWA CHAKO CHA
CHIN .NAKUTAMKIA NIPO WAKO YOURHONEY-...-G9T,,,,,,,,,,,,,
12.......Rabbi tatupa umoja, daima tuelewane, roho zetu ziwe moja,
mabaya yasi tuone, Peponi tuwe pamoja, siku zote tuo nane.(WEEKEND
NJEMA.BYE MMMMMMMMMMMMMMWWWWAAAH.,,,,,,,,,,
13....Kwa imani yako, A L L A H
akupe pepo ya duniani na akhera,
Kwa ukarimu wako, A L L A H
akufungulie kila lenye kheri,
Kwa ihsani yako,,,,,,,,,,
14......WEMA WAKO HAUPIMIKI KWA MEZANI,UZURI WA IMANI YAKO HAUNA
KIFANI,HAKIKA TABIA YAKO YASHINDA LULU YA PWANI, NAKUOMBEA KWA MOLA UWE
MTU WA PEPONI ^AMMIN^,,,,,,
15.......Namuomba الله
Akuzidishie امان
Akupe اØسان
Akujaze na صبر
Akupambe naذكر
Akupe تقوا
Akukubalie توبه
na maombi yako.Ameen.,,,,,,,
16.....Hii ndio ihsan na ishara njema kwetu asubuhi na jioni
kujuliana hali zetu tumuombe YAA KARIM aulinde upendo wetu cku nzuri ya
ijumaa imefika iwe furaha miongoni mwetu na ww pia......
17........Moyoni mwangu hutoki nakuomba ukubali, nawala sibadiliki
hilo kwangu ni muhali, si km sikukumbuki zimenijaa shuhuli, ww kwangu si
rafiki ni ndugu nnaekujali.....
18.,,,,,,Ewe ulo2lizana chaguo la moyo wng kila nnapokuona
huniondoka machungu tabia zako mwanana zmeuteka moyo wangu yoyote
atakaekuona mwambie ww ni wangu.I love u mwa.....
19,,,,,,,,,Kiapo naapa shahidi wangu mwenyezi sitotapatapa na
kukutia simanzi pendo lnq nimekupa nipate mema malezi najua hutoli2pa
limefika kwa mjuzi.G9T HONEY.,,,,,,
20,,,,,Moyo unasikitika hauto acha daima. Machozi yatiririka
siusiku si mchana. Huzuni imenishika kwa vile sijakuona wallahi
ninakupenda anaejua rabana ILOVE TOO,,,,,,,,,,
21,,,,,,,,,,,,,,,, .+"''"+JIONI + "+ YA LEO +" "+ , +"
Allah akujalie furaha yako iwe kivuli chako,afya njema iwe vazi
lako,amali njema ziwe pambo lako,watu wema ndio wawe swahiba zako ,na
firdausi ajaalie ndio iwe pepo yako wewe pamoja na familia yako. JIONI
NJEMA",,,,,
22,,,,,,,,,,,Kwa kawaida busu la upendo hupigwa mdomoni. La zawadi hupigwa shavuni. La salamu hupigwa mkononi.
La mahaba hupigwa kitovuni Je!La kukumis nilipige wapi?jioni njema,,,,,,,,,,,,,,,
23,,,,,,,,,,ndege tausi alimuuliza kasuku "hivi kuna viumbe wazuri
kuliko sisi duniani?"kasuku akajibu,ndio wapo kama hujui mtizame huyu
anayesoma msg hii."!!
No comments:
Post a Comment