Uwapo wa michirizi mwilini ni tatizo linalowasumbua wengi. Michirizi
hiweza kutokea shingoni,tumboni,mikononi,mapajani na hata kiunoni. Watu
wengi huhaha kutafuta dawa ya kuondoa tatizo hilo bila mafanikio. Ni
tatizo linaloleta muenekano mbaya hasa mhusika akivaa nguo za wazi.
Mtaalamu wa masuala ya vipodozi Mandeep Singh anabaanisha dondoo za
kukabiliana na tatizo hilo. Miongoni mwa dondoo hizo ni unywaji wa maji
mengi,angalau glasi kumi kwa siku,ulaji wa mboga za majanu na vyakula
vyenye wingi wa vitamin C na E sambamba na madini ya Zinc na Silica
ikiwamo karoti,spinachi na maharage mabichi. Vilevile matumizi ya juisi
ya limao ambayo unaweza kuipaka kwenye maeneo yenye michirizi.
Unapotumia njia hii hakikisha limeingia vizuri kwenye ngozi yenye
michirizi kwa angalau dakika 15 halafu nawa na maji ya uvuguvugu. Njia
nyingine ni matumizi ya viazi mduara. Katakata vipande vyembamba na
kisha jipake kwenye maeneo yaliyoathirika
Tuesday, April 25, 2017
UNA MICHIRIZI MWILINI?? SOMA HAPA
About Unknown
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment