Wanaume wengi
wanasumbuliwa na tatizo
la upungufu wa
nguvu za kiume, hali
inayo afanya washindwe
kufurahia tendo la
ndoa na wenzi
wao wa kike. Hizi
ni baadhi ya
sababu zinazo sababisha
upungufu wa nguvu
za kiume kwa wanaume.
1.
Msongo wa akili.
2.
Ulevi kupita kiasi.
3.Kupooza kwa
mwili
4.
Presha na ugonjwa
wa kisukari.
5.Wasiwasi wa
kutekeleza tendo la
ndoa
6.
Uoga wa
kufanya tendo la
ndoa.
7.Uzoefu wa
kukatisha tamaa wa
siku za nyumaa
8.
Mazingira yasiyoridhisha wakati
wa tendo la
ndoa.
TIBA (HUWEZA
KUWASAIDIA HATA WANAWAKE)
1. MLONGE/ NAZI. Chukua nusu
kikombe cha maua
ya mlonge, ongeza kijiko
kimoja cha chai
cha vumbi la
machicha ya nazi.
Chemsha katika nusu
lita ya maji
kwa muda wa
dakika 15, kutengeneza aina
ya supu. Chuja na
baada ya kupoa
kila jioni kunywa
nusu glasi, saa moja
kabla ya kwenda
kulala. Endelea na tiba
hii kwa muda
wa mwezi mmoja.
2.
KITUNGUU MAJI/ASALI. Ponda ponda
kitunguu maji cheupe cha
ukubwa wa kati
( gramu 50) . Kaanga
ndani ya mafuta
ya samli, baada ya
kupoa changanya na
kijiko kimoja cha
mezani cha asali. Kula
nusu saa kabla
ya kwenda kulala. Endelea na
tiba kwa muda
wa mwezi mmoja.
3.
ZABIBU NYEUSI ( BLACK
RAISINS ). Chukua zabibu kavu
nyeusi. Zioshe vizuri na
maji ya moto. Kula
gramu 40 za
zabibu ikifuatiwa na
glasi moja ya
maziwa. Fanya hivyo mara tatu
kwa siku. Endelea na tiba
kwa muda wa
mwezi mmoja.
4.
TANGAWIZI/ ASALI. Chukua nusu kijiko
cha chai cha
juisi (au unga)
ya tangawizi. Changanya vizuri
na kijiko kimoja
cha mezani cha
asali. Tumia pamoja na
nusu yai lililochemshwa kila
jioni kabla ya
kwenda kulala. Endelea na
tiba kwa muda
wa mwezi mmoja.
5. KAROTI. Saga au pondaponda
gramu 200 za
karoti. Ongeza nusu ya
yai lililochemshwa na
kijiko kimoja cha
mezani cha asali. Changanya kwa
pamoja. Kula nusu saa kabla
kwenda kulala . Endelea na
tiba kwa muda
wa mwezi mmoja.
6. BAMIA/ ASPARAGASI. Chukua gramu
kumi za unga wa
mizizi ya bamia. Changanya na
gramu 15 za unga
wa mizizi ya
asparagasi Chemsha katika glasi moja
ya maziwa kwa
muda wa dakika
tano. Kunywa asubuhi na
jioni saa moja
kabla ya kwenda
kulala. Endelea na tiba
hii kwa mwezi
mmoja.
Hii ni
tiba rahisi ya
vyakula kwa wale
ambao wana tatizo
la upungufu wa
nguvu za kiume ama
kukosa hamu ya
kufanya tendo la
ndoa (kwa wanawake) na
hawana uwezo wa
kununua dawa inayo
tibu tatizo la
upungufu wa nguvu
za kiume
No comments:
Post a Comment