Kujielewa, Kujipenda, Kujithamini,
Kujiamini na Kujikubali. Ukiwa na hizo 5K ni moja ya hatua kubwa ya
mafanikio katika kujenga a Strong Personality na utu nafsi
wenye ‘Utashi’. Huna haja ya kutambuliwa iwe kwa kutajwa ama kusifiwa
bila kujali kama ni sifa mbaya ama nzuri ili kujiona kuwa nawe u mtu
kati ya watu. Huna haja ya kila likuhusulo liwe kwa misingi ya kusifiwa,
sadikiwa, chelekewa, chekwa na mengine mengi – ili tu kutambua ufanyalo
ni msingi na la haja. Huna haja ya kumuegemea mwanadamu mwenzio kwa
lolote like lililo kwa misingi ya kukubalika bali tu kwa kujikubali.
Muhimu kuliko yoote, huna haja ya kutafuta Furaha na Amani toka kwa wengine bali utapata hayo ndani yako mweneywe daima!
KAMA HUAUTUMII VYAKULA HIVI NGUVU ZA KIUME UTAZISKIA REDION
No comments:
Post a Comment