Bahati mbaya wakati anaingia chumbani kwangu gafla alinikuta nikiwa uchu
nikiwa nimevaa chupi tu, sasa toka wakati huo amakua akiniangalia kwa
macho ya kimapenzi na anataka kutoka na mimi out anasema kuna jambo
anataka kuongea na mimi.
Nimefikiria kumwambia kaka yake , lakini nahisi nikimwambia baba
naweza kufanya tatizo kuwa kubwa zaidi, naombeni ushauri wanajamii
forums, sababu sasa ameanza kunitumia message za mapenzi usiku, na huyu
ni baba yangu mdogo na amenipita miaka mingi kwa kweli, namheshimu na
naogopa kumjibu vibaya.
No comments:
Post a Comment