Msemo wa Kiswahili wa wahenga ‘ukitaka uzuri dhurika‘
unaweza kuwa na maana kubwa katika mkasa huu wa aina yake unaowapa
kiashiria ‘chekundu’ warembo duniani kote wanaopenda kuvaa mawigi na
kusuka ‘ma-weaving’ kichwani kufunika nywele zao za asili.
Jasmine Collins ametoa taarifa kuhusu msichana wa miaka 23 ambaye amejikuta akinyoyoka nywele kama kifaranga chenye ugonjwa wa kuku, baada ya kutusuka ‘maweaving’ na kusuka mawigi kwa miaka kadhaa na kutozipa nywele zake halisi nafasi nzuri ya kupumua.
Collins amepost picha na video fupi zinazoonesha jinsi ambavyo msichana huyo ameathirika, na kueleza kuwa msichana huyo amemruhusu kupost picha hizo ili kuwasaidia wanawake wengine duniani kuepuka kilichomsibu.
“Ninasema tena, ngoja niwaambia kuwa mimi sio mpinga weaving na mawigi lakini huwezi kuishi nayo kila siku. Wateja wanafukuzia mitindo na wanamitindo wanafukuzia fedha na hakuna mtu anayesikiliza kuhusu umuhimu wa nywele. Hii lazima i-stop,” ameeleza Collins kwenye post yake aliyoiandika kiingereza na video ya msichana huyo.

No comments:
Post a Comment