Wapenzi na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa
kuianza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo
na hasa hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani mwanaume huwa na haraka
iliyopitiliza!
Mwanaume atamkumbatia na kumbusu mwanamke kwa muda mfupi na kabla hata
hamasa ya mapenzi ya mwanamke ahaijashika hatama, atamwingilia na ndani
ya dakika sekunde ama dakika zisizozidi 3, mwanamme hufika mshindo.
Katika hali ya kusikitisha baada ya mwanaume kujitosheleza hujongea
pembeni bila kujali mwenza wake hajafika mwisho wa safari hali
inayosababisha mwanamke kupoteza hamu ya tendo endapo endapo tabia hiyo
ya mwanaume itaendelea.
Kunahatua nne muhimu ambazo wapendanao wakizishika na kuzitekeleza
ipasavyo basi watafanikiwa kujitosheleza kila wanapokutana na kwa hakika
watakuwa miongoni mwa watu wachache wanaofurahia faragha kila
wakutanapo!
Hatua ya kwanza ni kusameheana:
Wanandoa wengi hushindwa kupata raha ya mlo wa usiku kutokana na
kushindwa kumaliza tofauti zao kabla ya giza halijaingia, mgogoro wowote
baina ya wapendanao ni lazima umalizwe kabla ya kukutana kwa ajili ya
mlo wa usiku. Hii husaidia kuondoa kinyongo miongoni mwao na kuwafanya
mioyo yao igubikwe na upendo ambao humfanya ahamasike kunako majambo!
Hivyo basi endapo unataka kufurahia mambo fulani hakikisha unamaliza
tofauti, ombaneni msamaha na samehaneni kwa dhati kwani kwa kufanya
hivyo kutawasaidia muwapo faragha kufurahia kile mnachokifanya kwa kuwa
mtakuwa mmemalzia tofauti zenu.
Hatua ya pili ni mchezo ya mahaba:
Mashamsham hunoga na kupamba moto kiasi cha kumfanya yoyote aliye kwenye
uwanya wa raha kusahau kwa muda shida na matatizo yanayomuandama pale
anapokutana an mtu anayeweza kumpagawisha kwa michezo ya mahaba kabla ya
kuianza safari yenyewe!
Michezo hii husaidia kuamzsha hamasa na muhemko baina ya wapendanao,
hivyo ili wapendanao waweze kufika mwisho wa safari pamoja na kila mmoja
alidhike na udereva wa mwenzake uliowafikisha safari yao lazima
watumiye muda wakutosha katika michozo yakimahaba!
Hata hivyo kila mmoja wenu anapaswa kuujua mwili wa mwenza wake. Mwili
wa mwanaume ni rahisi kuuelewa kwani una sehemu moja kuu ambayo ni kama
kiini cha muhemko na msisimko wa mapenzi. Sehemu hiyo ni uume. Hivyo
endapo mwanamke yoyote atatumia muda wakutosha kuhangaika na sehemu hiyo
basi mambo huwa safi kwa upande wa mwanaume.
Mwili wa mwanamke una shughuli pevu kubaini sehemu zenye ambazo huamsha
hisia za mapenzi na ndiyo maana wanaume wengi hushindwa kuwafikisha
mwisho wa safari wapenzi wao. Kiini cha hisia za mapenzi kwa mwanamke
ziko kwenye kipegere G (namaanisha critoris wadu, haya ni mambo ya
infenizimu tu). Kipegere G kipo nje ya uke ambapo wataalamu hudai kuwa
kipo sentimita 4 kutioka ukeni.
Wanaume wengi wanaelewa hili lakini walio wengi wamegubikwa na imani
potofu kuwa, kwa kuingiza kidole ukeni watafanikiwa kuinua hamasa ya za
wenza wao kutaka kuanzisha safarijambo ambalo si kweli, kwani wanawake
wengi hujisikia vibaya kuingizwa vidole ukeni kutokana na ukweli kwamba
kucha zinabeba uchafu na bakteria wengi ambao huwasababishia kupata
fangasi!
Hivyo basi, endapo wewe ni miongoni mwa wanaume waliokuwa wakiaminin
dhana hii nataka nikujulishe kuwa, ukitaka kumpa msisimko uliotukuka
mwenza wako usiangaike kuingiza kidole chote ukeni badala yake hakikisha
unatumia kidole chako (hakikisha si kikavu) kucheza na sehemu ya nje ya
uke ambapo utakutana na kipegere G na lips za ndani. Hata hivyo
usisahamu kuhangaika na uke pia lakini hasa shughulika na sehemu za nje!
MUHIMU KUJUA: Mwanaume huahamasika kwa sekunde kadhaa lakini mwanamke
humchukua takriban dakika 20 kuweza kuamsha hisia zake na kumfanya awe
tayari kwa kuianza safari! Hivyo, mwanaume mwenye busara yaani asiye
mbinafsi huakikisha anatumia muda wakutosha kumuuanda mwenza wake kabla
ya kuanza safari! Hivyo mwanaume anapaswa kunza michezo ya mahaba kwa
kuzingatia hatua tatu muhimu ambazo ni:-
Sehemu ya juu:
Wanume wengi kutokana ana haraka zao hukimbilia sehemu ya chini ya mwili
wa mwanamke yaani kunako na kuanza ama kupapasa kwa kidole chake ama
ulimi na baada ya sekunde chache huanza kumwingilia mwanamke, lakini
mwanaume mwenye kumjali ampendaye na mwenye nia hasa yakumfikisha kwenye
kilele cha raha huwa hana papara huhakikisha anamhagi na kumpiga mabusu
sehemu ya juu ya mwili wake yaani mdomoni, shingoni, kwenye matiti,
chuchu etc.
Hata hivyo, si wanawake wote wako sawa, kuna amabo hufurahia kutomaswa
maziwa yao huku wengine wakichukizwa kutokana na sababu mbalimbali kwa
mfano kama mwanaume ni mtu wamitungi ama mvuta sigara mara nyingi kinywa
chake hutoa harufu mbaya hivyo huwa vigumu kwa mwanamke asiyependezewa
na matumizi ya vitu hivyo kufurahia kupigwa denda!
Kimsingi mwanamke kama kweli unampenda mpenzi wako na unataka ufurahie
majambozi anayokupa hakikisha unakuwa muwazi kwa kuanza na kumuonyesha
sehemu zinazokupa hamasa ya kufanya mapenzi, si lazima ushike mkono wake
na kuupeleka kunako hiyo sehemu!
Hakikisha pindi mwanaume anapokugusa sehemu inayokusisimua unamwonyesha
wazi kuwa hapo unasikia utamu yaani kama miguno ilikuwa haitoki
hakikisha inaanza toka, kama pumzi zilikuwa zatoka kawaida basi zianze
toka isivyo kawaida, nachomaanisha hapa ni kuwa unapaswa kuonyesha
umepagawa kwa raha unayopata basi kwa mwanaume aliye kamili hatasita
kuishughulikia kikamilifu sehemu hiyo!
Sehemu ya chini:
Baada ya kumtomasa kiasi cha kutosha sehemu ya juu ya mwanamke, mwanamke
huhitaji kutomaswa sehemu ya chini na hapa ndipo ambapo unaweza kuhisi
anataka kuingilia mana huanza ama kujishikasiika sehemu za chini ama
hukupeleka maeneo yake nyeti upate kumwingilia kwani huwa amehamasika na
ilim kujua kama amaehamasika basi uke wake huwa unamajimaji ambayo
hutoka kwa ajili ya kulainisha nyia ya kupita bwanamkubwa yaani uume.
Hata hivyo, ili mchezo uwe mtamu mwanaume anapaswa kuhakikisha anatumia
dakika kadhaa kuuchezea uke na kufuatia kinena. Hapa ieleweke kuwa kuna
wanawake baada ya mizuka kuwapanda hutokwa na majimaji mengi sehemu zao
za siri hivyo endapo mwanaume ukikutana na hali hiyo usishutuke jua
mzuka imempanda mpenzi wako tu na si vinginevyo!
Katika kuchezea sehemu zake za siri mwanaume anapaswa kujua kuwa kuna
wanake wanapenda chezewa kinena pekee na wengine hupenda mwanaume atumie
ulimi ama akidole chake (kisiwe kikavu) kuingiza ukeni huku kidole
kingine kikitomasa kinena hali inayomsisimua mwanamke. Hivyo mwanamke
anapaswa kuwa muwazi nini anapenda kufanyiwa!
Katika kipindi hiki mwanamke naye anatakiwa kutoa ushirikianao wa miguno
na viuno vya hapa na pale kuashiria anapata raha na asisahau mptomasa
mwanaume, lakini ikumbukwe kuwa mwanaume ana sehemu kuu moja inayomtia
wazimu ambayo ni uume wake hivyo ni rahisi kwa mwanaume kufika mshindo
hata kabla ya tendon a hapo ndipo tatizo huibuka kwani wengine baada ya
tendo moja huwa hawana uwezo wakurudia mzunguko wa pili!
Nini mwanaume anapashwa kufanya sasa ili kuhakikisha hamalizi mzungoko
haraka? Anapaswa kuwa muwazi kwa mwenza wake endapo mwenza wake atakuwa
anamshika sehemu ambayo inamnyegesha sana na kumfanya ajisikie kumaliza
biashara basi amueleze wazi kuwa aiache sehemu hiyo kwa muda ili uweze
kudumu kunako majambozi!!
Hata siku moja msifanye mahaba kimya kimya! Simaanishi mpige mikelele
hadi iwe kero kwa majirani na nk, elezenaneni kwa sauti za mahaba nini
kila mmoja wenu anapenda mwenzi wake afanyiwe na mwenza wake.
No comments:
Post a Comment