Najua wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini
kwa wale wasiojuwa ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi
yeyote huu ndo wakati mwafaka.
Wanaume wengi wanaopenda wanawake wao wavae shanga ili
kusisimuana tu .Je mnafahamu zinamaanisha nini?....Karibu tujifunze
pamoja.
Katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa
pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa
hata kumi ukitaka . Jana niliguswa sana na simulizi la rafiki yangu
juu ya shanga, hivyo nikaona boraniandike na wengne wajue.Hii ni
sehem ndgo ya simulizi lake.
".........Nilikutana na boyfiriend wangu maeneo ya Shycom
…tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza madensi, halafu blues, ya
Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na
boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kucheza Blues.
Miili yetu iligusana na akaana kunipapasa taratibu
kufuatana na beats za muziki. Nilifurahi sana. Akateremsha mikono yake
kwenye kiuno changu.
Alivyogusa shanga zangu akawa kama mwili wake umekufa
ganzi. Alisisimuka we! Akanishika kwa nguvu, niligundua kuwa ham yake
ilikuwa juu....."
Naamini utakuwa umejifunza kitu fulani muhimu kutokana na
simulizi hilo.Sasa turudi kwenye mada yetu.Kuna wengine wanananunua
rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita
ni urembo tu kupendezesha kiuno.
RANGI ZENYE MAANA PINDI UWAPO KITANDANI NA MPENZI WAKO
Nyekundu: ukimkuta mwanamke amevaa shanga ya rangi hii
unatakiwa kuelewa kwamba mwanamke huyu yupo kwenye hedhi, kwahiyo wewe
fanya mengine lakini sio kutumbukia unless yeye mwenyewe amekuruhusu na
wewe uwe na uwezo wa kutumbukia hata akiwa kwenye hedhi (kitu ambacho
kiafya akishauriwi).
Nyeupe: ukimkuta mwanamke amevaa shanga nyeupe
hiihumaanisha hana tatizo lolote litakalomfanya asikupe raha ya sita kwa
sita, kwahiyo ukitaka tu muda wowote unapata.
Nyeusi: ukimkuta mwanamke amevaa rangi nyeusi
hii humaanisha ya kwamba yupo tayari kukupa raha za sita kwa sita lakini
uwanja wake haujakatwa majani, kwa hiyo chaguo ni lako kama unataka
kutumia siku nzima kutafuta goli haya, ama kama utamsaidia kumkatia
majani uwanjani vizuri zaidi ama kama huwezi yote basi mpe muda akate
mwenyewe.
No comments:
Post a Comment