Jamani kila mwanaume au kila mkaka hutamani kwa kiasi kikubwa sana
kumridhisha msichanana wake lakini kwa wakati mwingine mambo huwa
hayaendi sawa kama vile mkaka anavyotarajia na wakati mwingine hata
kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume ambayo huwa ni hatari sana kwa mtumiaji kwani baada ya muda huwa na madhara makubwa sana.
Basi nimekuwekea hapo chini matunda na mboga za asilik kabisa zitakazo kusaidia tatizo lako la nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa.
ANGALIZO::JIZOESHE KULA MATUNDA NA MBOGA NILIZOZITAJA HAPO JUU UTAONA
MATOKEO YAKE KULA KAMA SEHEMU YAKO YA MAISHA USISUBIRI MPAKA UAMBIWE NA
DAKTARI HAKIKA UTAONA MATOKEO MAZURI SANA ASANTENI NA SIKU NJEMA!
1O.NYAMA YA NGURUWE:: Nyama ya nguruwe ina vitamini B1 ambayo inasaidia
kwa kiasi kikubwa sana kutanuka kwa mishipa ya neva.Mifumo ya neva ni
muhimu sana katika kuongeza na kukupa nguvu za kiume nyingi zaidi.
9. PILIPILI:: Pilipili ni muhimu sana katika swala lakufanya mapenzi na
bahati nzuri ni rahisi kuipata.Hii ni kwa sababu pilipili husaidia
kusukumwa kwa damu kwa wingi na haraka katika mishipa ya damu na hasa
katika sehemu muhimu sana kama uume na hii kusaidia kusimama kwa nguvu
nyingi zaidi.
8. KAHAWA:: Kutumia kahawa kupita kiasi kunaweza kusiwe kuzuri kwa afya
yako.Lakini hatukatai kwamba kafeini iliyomo kwenye kahawa inaweza
kukupa nguvu nyingi sana za kuweza kuchelewa kufika kileleni
mapema.Tumia kinywaki hiki kwa busara kwani kinaweza kikawa kina faida
na hasara kwa upande mwingine pia.
7. CHOCOLATE:: Ukiipata
aina hii ya chocolate inayotoka katika zao la kakao,lakini inatakiwa
iwe haijaongezwa sukari ndipo utaona matokeo mazuri tumia hiyo kabla ya
kufanya mapenzi,utafurahi kwa kupata matokeo mazuri.
6. ZABIBU:: Kemikali ya anthocyanins iliyomo kwenye zabibu husaidia
kwa kiasi kikubwa sana kuisafisha mishipa ya ateli na hivyo kufanya
mazunguko wa damu kuwa mzuri hasa katika sehemu za uume wako.Hii ni
kwasababu mishipa ya damu inakuwa imefunguka na damu kutiririka vizuri
katika maeneo hayo.
5.SHAYIRI::Mara nyingi mazao kama haya huwa hayapatikanai sana katika
nchi za kiafrika.Hili ni zao ambalo lilikuwa linatumika kwa kiasi
kikubwa sana katika kutengeneza ngano inayotumika kutengeneza
mikate.Inatumika kwa kiasi kikubwa sana kuondoa mafuta ya tumboni na
hatimaye kuifanya damu izunguke vizuri mwilini.
4. NDIZI:: Ndizi
husaidia kwa kiasi kikubwa sana kuongeza madini aina ya potasiamu
ambayo husaidia kuuuweka moyo katika hali nzuri na hii hupelekea
mzunguko wa moyo kuwa mzuri zaidi na kama damu ikiwa inazunguka vizuri
hii husaidia kwa kiasi kikubwa sana kusimama kwa uume vizuri na imara.
3. ZABIBU::Zabibu nyekundu huwa inafanya kazi kwa kiasi kikubwa kama
madawa ya kuongeza nguvu za kiume huwa inafapanua mishipa ya damu ya
uume na hivyo kufanya mizunguko ya damu kuwa mizuri sana.
2. MATIKITIMAJI:: Matikiti
maji yana kiwango kikubwa sana cha kuongeza mishipa yako ya damu na hii
kuifanya damu pia iweze kutiririka kwa uzuri sana na hii hufanya uume
kusimama kwa uzuri zaidi.
1. VITUNGUU SAUMU ::Licha ya kwamba vitunguu saumu saumu hufanya mdomo
wako unuke vibaya,lakini ni kiungo kizuri sana kwa kuongeza nguvu za
kiume.Kiungo hiki ndicho kinachokupatia kemikali ya uume inayoitwa
testesteroni ambayo ndiyo mdingi wa kusimama kwa uume wako.
No comments:
Post a Comment