Wadau natumaini mu wazima Mi ni mjasiriamali toka Arusha but huwa nakuja
Dar kwa ajili ya kuchukua bidhaa, nikiwa Dar napenda kujibururdisha ama
MEEDA au KONA BAA/AMBIANCE AFRIKA SANA huwa nikipata demu wa kupiga
nampelekaga Guest/hotel niliyofikia tunafurahia "game" asb namlipa chake anatambaa.
Sasa katika kuingia guest kadhaa za hapa Dar nimegundua hawa jamaa wa
guest wanaweka SECURITY CAMERAS kuanzia kwenye parking, kwenye korido,
karibu na milango, vyumbani hadi bafuni. Je, ni haki kuweka security
camera hadi vyumbani/bafuni?
Jana nikiwa kwenye foleni Magomeni Mapipa dogo mmoja akaja na DVD kibao
za dini, chini yake ameweka DVD ya X ina picha ya WEMA nikainunua ile
kufika hotelini nikaweka kwenye laptop najiona mimi na demu
niliyemchukua wk 2 zilizopita.
Hakika nilichoka, sijui cha kufanya nishaurini wadau.
No comments:
Post a Comment