Usafishaji
Sina hakika kama sote tunajua jinsi ya kusafisha matiti. Ikiwa wewe
unajua basi ujue kunamwingine hajui na kama ilivyo ada mahali hapa
tunajifunza au kujazia/ongezea yale tunayoyafahamu.
Hakikisha unasafisha eneo zima la matiti hasa sehemu ya chini (ikiwa
wameanguka tayari) kama ilivyo sehemu nyingine ya mwili wako, vilevile
hakikisha chuchu zimejitokea na usafishe vema chuchu hiyo....hii sio kwa
walionyonyesha au wanaonyonyesha tu bali hata wewe ambae hujawahi kuwa
na mtoto.
Unatambua kuwa unapokuwa mtu mzima chuchu hutoa kashombo fulani hivi
ambako husababishwa na utokwaji wa majimaji fulani unapokaribia hedhi na
wakati wa hedhi (hii ni kutokana na matiti hayo kutengeneza maziwa
incase utarutubisha yai lako).
JINSI YA KUNYONWA MATITI YAKO ILI KUZUIA YASIANGUKE
Hakikisha mpenzi wako anayanyonya akiwa ameshikilia au wewe
umeyashikilia, vilevile hakikisha anapo yapapasa au kuyatomasa, basi
afanye hivyo bila kuyahangaisha....kwamba ahakikishe yametulia.
Unapokuwa kwenye mkao wowote unaosababisha matiti yako yasumbuke basi
hakikisha mpenzi kayakamata sawia au kama wewe mwenyewe hujapoteza akili
kwa raha basi yashikilie....kwa kufanya hivyo kutasaidia matiti yako
yasilegee kabla ya wakati.
Ni wazi kuwa sote matiti yetu yanakwenda kulegea pale tutakapokuwa
tunapoza homoni yaani tutakapo zeeka lakini kuzaa au kuwa mdada mkubwa
(over 40) sio sababu ya kujiachia.
No comments:
Post a Comment