Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa
kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida...Wanaume walio na tatizo
hili wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia
katikamahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao kutokana
na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale uhusiano wao unapofika
mwisho..Ikitokea mwanaume akiwa katika uhusiano na mwanamke "mcharuko" (
asiye mstaarabu ) mwanamke huyo anaweza kuanza kumvua nguo hadharani
kwa kumtangazia kwa watu kuwa na uume mdogo . " Mwanaume utakuwa wewe!"
na lugha za namna hiyo hutawala midomoni mwa wanawake hawo....Matokeo
yake sasa wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa
kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake huamua
kuanzisha tabia ya kuwa wanajamiiana na wanawake wanaouza miili yao
amakujihusisha na upigaji punyeto n.k.
NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO.
1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..Hali hii husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume kurudi ndani.
2. Kuugua chango la uzazi.
3. Magonjwa ya utotoni.
4. Kutahiriwa mapema
5. Kurithi kutoka kwa wazazi :Wanaume wengine wana maumbile madogo kwa sababu wamerithi ms
No comments:
Post a Comment