Simama wima (ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it'll work
better), weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele
(litunishe) baki hivyo kwa muda kisha lirudishe kwa ndani na ubaki tena
hivyo kwa muda.
Rudia kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo na kumbuka kubana
pumzi huku mdomo ukiwa wazi (itasaidia kukaza misuli ya tumbo pia),
kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, chap-chap, kugandisha n.k)
mpaka utakapo hisi tumbo lako linatetema/tikisika (yaani vibrating).
Msingi wa kukata kiuno
Kama nilivyosema awali, simama wima najishike kiunoni (kuhu na huku) kisha peleka sehemu ya kiuno ya kulia upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele uwezavyo(nina maana ile pelvis tu sio tumbo na kila kitu) alafu baada ya hapo peleke sehemu yako ya kiuno ya kushoto-kushoto, kisha peleka sehemu yako ya mbele nyuma hali itakayofanya matako yako yabinuke/jitokeze kwa nyuma.....nyoosha magoti kisha rudi kulia (ulipoanzia).

Fuata hatua hizo kwa mara nyingine tena ambazo ni simama
wima-kulia-mbele-kushoto-nyuma kulia x 20 na kuendelea inategemea zaidi
na bidii yako.
Baada ya kuzoea hatua hizo hapo ndio unapotakiwa ku-create
movements na mirindimo yako kivyako. Mfano lala chali, kifudifudi (lalia
tumbo), ubavu, chutama, piga magoti n.k kisha nenda
kulia-mbele-kushoto-nyuma-kulia mpaka kiuno kizoee..... alafu usisahau
ukiwa ndani ya "game" kukilazimisha mpaka kitakapo kubali/zoea.
Kidokezo: Zoezi zuri la kukata kino ni kulala kifudifudi
(kulalia tumbo) kisha kukizunguusha (hapa usipokuwa mwangalifu unaweza
ku-cum
No comments:
Post a Comment