Nguvu za kiume ni nini?
Huu ni uwezo wa mwanaume kuweza kusimamisha uume wake na
kuhimili mda mrefu kwenye tendo la ndoa bila kuchoka kirahisi.
Waswahili wanasema ni “uwezo wa gari kupiga starter lenyewe
bila kusukumwa”
Utafiti unaonyesha kati ya wanaume watatu, mmoja ana tatizo
la nguvu za kiume kitu ambacho kinaonekana kitakua zaidi siku zijazo.
kwa fursa hii watu wengi wamejiita waganga na kuuza dawa nyingi za uongo
wakidai zinaongeza nguvu za kiume ili kujipatia fedha kitapeli.
nakushauri wewe msomaji usiangukie kwenye mtego huo.
Kuna sababu kadhaa ambazo zinasababaisha kupungua kwa nguvu
hizo lakini hii sio maada yangu kwa leo ila ntaziongelea session zijazo.
Vifuatavyo ni vyakula
ambavyo vinaweza kukurudishia nguvu zako za kiume kwa asilimia mia moja{100%].
·
Banana {ndizi
mbivu}
Haya ni matunda ambayo yanapatikana kwa
wingi nchini kwetu na kwa bei nzuri,
enzyme muhimu iliopo kwenye ndizi kwa jina la kitaalamu bromelain huongeza stamina na hamu ya tendo la
ndoa.
Pia vitamin B, ambayo hupatikana kwenye
tunda hilo huongeza nguvu za mwili.
·
Garlic
{kitunguu swaumu}:
Kitunguu hichi ni hutumika sana kwenye
mapishi ya kiafrika hasa upikaji wa pilau, lakini hufanya kazi vizuri kikiliwa
kibichi.
Kitunguu hichi hufanya kazi ya kuongeza
mmiminiko wa damu kwa wingi kwenye uume na kufanya mwanaume kustahimili vizuri
kwenye tendo hilo.
·
Pea
nut{karanga}:
Karanga ni moja ya vyanzo vikubwa vya amino
acid ambayo kitaalamu inaitwa L-arginine ambayo hufanya kazi ya kulegeza mishipa
ya damu ya uume na kuruhusu damu kuingia kwa wingi hivyo kuupa uume nguvu maradufu.
·
Chocolate:
Ni chakula kinachopatikana kwa wingi
madukani, ambacho kitaalamu kina kemikali zinazoitwa phenylethylamine na
alkaloid, ambazo huongeza nguvu na stamina wakati wa tendo la ndoa.
·
Blue
berries:
Haya ni aina ya matunda ambayo hayapatikani
kirahisi nchini kwetu ila yanalimwa san amerika ya kaskazini na hupatikana mara
chache mijini kwenye supermarket kubwa kubwa. Matunda haya hufanya kazi kwa
kupunguza lehemu{cholesterol} kwenye mishipa ya damu na kufanya damu kupita kwa
wingi kwenye mishipa hiyo na kuufanya uume usimame kwa nguvu na kwa mda mrefu.
MWISHO: ni kiasi kidogo tu kinahitajika
kwa siku, kwa vyakula nilivyotaja hapo juu.
hivyo sio busara kula vyakula hivyo kwa
wingi na kuacha kwa wiki moja.
Ni vizuri ukala kiasi kidogo kwa mda mrefu ili upate matokeo
mazuri.
No comments:
Post a Comment