Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi
ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya
kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji yangu nyumbani,
kaka alikuwa bado hajarudi. kama kawaida yake akaanza.
“Haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini” Nikamwambia leo sina kitu
wife kesho nitakuletea bonge la zawadi ,akasema wala usijali mume wangu
leo nina bonge la zawadi yako, mi nikajua utani...!
Aliniacha sebuleni yeye akaingia chumbani kwake na mimi pia sikukaa sana
nilienda chumbani kwangu. Mara tu nikasikia ananiita "shemeji njoo huku
tayari", nikatoka, akaniambia njoo huku chumbani kwangu, nikafika ila
nikaishia mlangoni akaniambia ingia shemeji. Nilipoingia nikamkuta
amevaa nguo moja fupi ya ajabu ...akaniambia ngoja nikuonyesha mambo
ninayompa kaka yako.Akaanza kukaa style tofauti tofauti pale kitandani
za kusisimua, kweli nilishindwa kumuelewa nikamuuliza shemeji huu ni
utani pia au uko serious??.
Akaniangalia tu machoni halafu akaendelea. Nilivyoona vile nilifungua
mlango nikatoka. Akaaniita kwa hasira mi nikarudi chumbani kwangu
nikalala.
Sasa naona hata aibu kumwangalia shemeji yangu.
No comments:
Post a Comment