Kupiga nje-ndani a.k.a tako kwa nguvu na haraka-haraka na kubadili mikao
kila baada ya dakika chache mpaka binti wa watu anaomba "msamaha"
haikufanyi kuwa mtaalamu wa kufanya ngono bali ni mtaalamu wa fujo na
kumchosha mwenzio......
Utaalamu wa kufanya ngono ni kujua kujizuia, utundu/ujuzi wa kutumia
uume wako pale unapokuwa ndani.....unaruhusiwa kubadili "mirindimo"
lakini kwa kujali na kwa upendo unless uambiwe tofauti na huyo umfanye
kutokana na utamu/raha anayoipata.
Kumchosha mtu kutokana "haraka zako" ktk mzunguuko wa kwanza sio ujanja
bali ni ubinafsi.......anatakiwa kuchoka kutokana na kufika kileleni
hali ambayo huwa haimalizi bali kuongeza hamu ya kungonoka.
Uchovu wa mwili (aches) hujitokeza siku inayofuata na mara nyingi ni
kutokana na kukaza misuli wakati unaita kilele au umefika mara nyingi.
No comments:
Post a Comment