Mbegu za maboga zina faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu.
Mbegu za maboga zimethibitika kuwa na kiwango kikubwa cha
virutubisho vya aina mbalimbali kuanzia magnesium, manganese, shaba,
protini, zinki nakadhalika. Zifuatazo ni baadhi ya faida za
matumizi ya mbegu za maboga.
- KuongezaMaziwa Kwa Wanawake Wanao Nyonyesha : Kwa wanawake wanao nyonyesha matumizi ya mbegu za maboga huwasaidia kuongeza kiwango cha maziwa yenye afya kwa watoto wanao nyonya.
- Mbeguza maboga zina zina kiwango kikubwa c
- ha madini ya magnesium ambacho mwanadamu anatakiwa kukitumia kila siku.
- Mbegu za maboga zina kiwango kikubwa cha madini ya zinc ambayo yana faida mbalimbali katika mwili wa mwanadamu kama vile kuimarisha kinga ya mwili, kuimarisha uwezo wa kuonja na kunusa, ukuaji wa seli mbalimbali za mwilini, kuimarisha afya ya macho na ngozi, kulinda na kuimarisha insulin pamoja na kuongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa wanaume.
- Mbeguza maboga ni miongoni mwa vyanzo bora kabisa vya mafuta na acid zitokanazo na mimea ambazo zina faida kubwa sana kwa afya ya mwili wa mwanadamu.
- Mbeguza maboga zinasaidia katika kulinda na kuimarisha ufanisi wa tezi kwa wanaume
- Mbeguza maboga zina imarisha na kulinda afya ya moyo na ini
- Mbeguza maboga zinasaidia katika kuboresha usingizi. Kama una matatizo ya usingizi unashauriwa kutafuna mbegu za maboga pamoja na tunda kidogo. Hii itakusaidia katika kupata usingizi mzuri.
Mbegu za maboga zina
faida kubwa sana kwa wagonjwa wa kisukari kwani zinasaidia
katika kulinda, kuboresha, kuimarisha na kurutubisha insulin
Anza kujenga tabia ya kuwa unatumia mbegu za maboga kwa faida
mbalimbali kwa afya ya mwili wako kama ilivyo onyeshwa hapo
juu. Kwa makala mbalimbali za afya na tiba a silia, endelea
kutembelea
No comments:
Post a Comment