Nina mchumba wangu tupo kwenye mahusiano kama mwaka sasa unafika na soon
tulikuwa tunasubiri jambo fulani ili mwezi wa 11 tufunge ndoa, kimsingi
tunapendana sana, sijawahi hata siku moja ku-notice jambo lolote baya
kati yetu linaloweza kuleta labda ugomvi na kutokuelewana, tupo vizuri na tunafuraha muda wote.
Kama kuna shida basi ni ndogo ndogo za kupishana kauli kibinaadamu.
Kiufupi niseme yaani tupo kwenye pick ya juu kabisa ya mapenzi yetu.
Wiki mbili nyuma mshikaji wangu mmoja akaniambia mbona kwenye Badoo
naona picha za shemu kabadili jina kidogo, unaruhusu vipi anaingia huko?
Sikuamini ikabidi ni download na kuanza kumsearch.
Ilinichukua kama siku tatu kuja kumpata kwenye Badoo na ni yeye kweli
katumia jina lake lakini kimadoido. Nikahisi labda kuna mtu anatumia
picha zake sio yeye, ingawa simu yake ina password kama yangu nikagundua
kweli ameinstall Badoo kwenye simu yake, muda wote huo sijamwambia kitu
nachunguza tu.
Nilichokifanya account yangu ya Badoo nikatafuta picha za jamaa wa costa
rica sijui nikaziweka kama zangu na jina la uongo naishi mikocheni na
ukiona hivi unaona mtu mambo safi. Nikaanza kumchokoza mambo basi tukawa
tunachat nikaanza kumchomekea nampenda, nimependa picha zake na ninakaa
Masaki.
Jamani wanawake ni wabaya kabisa. Akaanza ooh nina mchumba lakini
tufanye siri, mara ananiponda kishenzi eti ndugu zake kama
wanamlazimisha nimuoe, basi na mimi namchokonoa tu yaani anafunguka hadi
aibu mengine siwezi sema hapa, in short anamaanisha I am nothing at
all. Nikamuomba namba akanipa, ila yangu nikamwambia sio vizuri yeye
kuwa nayo, Akanipiga mzinga wa elfu 50 nikamtumia fasta kwa kibanda ya
mpesa ndio nikamchanganya kabisa.
Tukaendelea kuchat nikamuomba anitumie picha, namsifia kila ninacho
mwambia natamani nione anajipiga ananitumia, jamani hizo picha unaweza
kulia ukajiua, mtupu kama alivyozaliwa, mara apige k picha, mara maziwa
yaani hakatai kitu, nikamuomba picha ya bwana wake akanitumia jinsi
alivyo mshenzi, nikimsifia mbona handsome anaponda kinoma.
Naitwa majina yote matamu duniani hadi najionea wivu mwenyewe, kila
nikiingia nakuta meseji kibao yaani ni i miss u, i cant wait to xxx with
u. U have sex body nk nk. Kufikia hapo nikajua mchumba tena sina lakini
nikasema ngoja niendelee kumpima, nikamchomekea mambo ya tigo akaruka
sijawahi na sipendi, nikaanza kumchombeza nanini heee akaniambia labda
atajaribu mara moja tu lakini anasikiaga inauma na nisi pizi ndani maana
manii yakiingia eti atakuwa anawashwa na atakuwa anataka kila siku
kuliwa tigo khaa!.
Wiki iliopita nikamtumia elfu 20 nikamwambia saa kumi kamili aje Sinza
Hotel fulani atanikuta nimechukua chumba kabisa, nitakua namsubiria
kaunta ya baa chini, mimi nikaenda nikabana sehemu, akaja hadi kaunta
akakaa we simu yangu hana sasa, nikamtumia tu meseji Badoo kwamba baby
sorry vikao vimenibana sana sitaweza kuja ndio akaondoka. Jamani
niliumia sana sana lakini sasa roho imeisha kubali, hata kama kuchepuka
lakini sio kule jamani, mtu hata humjui.
Na je huko Badoo kashatongozwa na kugongwa na wangapi, maana Badoo ni
kujiuza tu hakuna friends wala followers kule, wewe unatupia picha
unasubiri atakayekolea mnaanza chat. Amenidhalilisha sana sana jamani,
sijawahi kumkosea lolote hadi anivue nguo vile mbele ya mtu hata
asiyemjua na anavyojua kujipretand sasa, nimuulize ulikuwa wapi yaani
majibu anayonipa yananipa picha ndio hunidanganya hivi kila siku.
Hadi sasa sijamwambia na sijui nifanyeje lakini mimi na yeye basi maana
sasa ni wiki hata hisia sina tena mzee hashtuki kabisa mpaka ananiuliza
kunani? Namjibu naumwa tu. Nataka nimfanyie kitu mbaya, hizo picha za
uchi atazisoma mitandaoni na kwa shigongo na itakuwa mwisho wetu. Na
sitakaa nimwambie ni mimi nilikuwa nachat naye nitaacha picha ziongee.
Naomba maoni yenu wadau
No comments:
Post a Comment