kila
mtu ana haki ya kufanya kitu ambacho anapenda hapa duniani ilimradi
asivunje sheria , umewahi kujiuliza ni jinsi gani mwanaume au mwanamke
ambae hayupo na wala hajisikii kuwa katika mahusiano yan kimapenzi na
mtu yeyote huwa anakizi vipi haja zalke za kufanya mapenzi? ni swali ambalo lina majibu mengi,
lakini iumekuwa tofauti kabisa kwa dunia ya sasa iliyotawaliwa na
tekinolojia ya hali ya juu sana, hii haitokua ngeni sana kwako #MTU
#MZURI kwani inaonekana kitu cha kawaida kushiliki ngono kati ya
binadamu na matoi yaani midoli.
:mdoli wa kike ambae umetengenezwa mahususi kwa kuamsha hisia za mwanaume
mwanzo lilionekana ni jambo la ajabu sa kitendo cha binadamu kushiliki
ngono na midoli lakini kwa sasa limekua kama jambo la kawaida kwani hata
nchi za kiafrika zimeanza kuiga utamaduni huu ulioanza mara ya kwanza
kabisa huko nchini marekani.
kutokana na hilo baadhi ya viwanda viliona fulsa ya biashara kwa kubuni
midoli iliyo na mvuto zaidi ambayo inaweza kuibua hisia za mwanaume na
kukizi haja zake hivyo hivyo kwa mwanamke pia
leo nimekuletea baadhi ya matoi na midoli ambayo hutumika kufanyia mapenzi kwa mwanamke na kwa mwanaume hapo chini.
mdoli uliotengenezwa kwa umbo la kiume mahususi kwa mwanamke kufanyia mapenzi
No comments:
Post a Comment