Wanaume wengi wao japo siyo wote hupenda kuangalia/kushangaa wadada
wenye makalio makubwaa .....wengine wanashangaa yansishia hapo hapo
wengine wanatamanii kuwa na na mwanamke wa hivyooo n.k....... Kila mtu
kaumbiwa matamanio..... Je kwaupande wetu sisi Madada huwa tunamtamani/
kushangaa mwanamme wa aje kila mtu anakitu chake anachopenda mwenza wake
awe nachoo je sisi wadada huwa tunatamani non???.
Nianze na mimi......
....Huwa napenda sana mwanamme mwenye kifua kipana kilicho jengeka vizuuuri na kama nikibahatika kuongea nae angalao sauti iwe nzitooo......
Nianze na mimi......
....Huwa napenda sana mwanamme mwenye kifua kipana kilicho jengeka vizuuuri na kama nikibahatika kuongea nae angalao sauti iwe nzitooo......
No comments:
Post a Comment