Katika pitapita zangu katika mitandao na baadhi ya kazi zangu mtandaoni,
nilikumbana na hili chapisho ambalo niliingiwa na hamu ya kuliweka hapa
ili kuwajulisha umuhimu wa kufanya mapenzi na mpenzi wako. Chapisho
lenyewe hili hapa:
"Tendo La Ngono Litakufanya Uwe Mjanja, Utafiti Waonyesha
Kuna watu watatetea kuwa tendo la ngono ni kama baraka kutoka kwa Mungu,
ni dawa ambayo haijawahi kutokea kamwe. Inasemekana kuwa ngono
hupunguza mawazo(stress), depression, husaidia kuchoma kaloria mwilini
na pia huwa ni furaha kwa wawili wanaopendana. Kuongezea mambo haya yote
imebainika kuwa ngono inafanya mtu kuwa mjanja/mwerevu.
Utafiti huu ulifanywa katika familia ya panya na imeibuka kuwa ngono
imewafanya kuwa wajanja, na kwa sababu tuna uhusiano wa karibu na
familia ya panya, utafiti huo pia unafanya kazi kwa binadamu.
Kulingana na utafiti uliofanywa na wanasayansi tofauti kutoka chuo kikuu
cha Maryland na Konkuk, Seoul nchini N. Korea, imeonekana kuwa panya
hao wameongezeka kipawa cha kufikiria na pia jambo hilo limeongeza
'neurogenesis' (ongezeko la neurons kwa ubongo)
Utafiti umeonyesha kuwa sehemu inayofaidi zaidi kwa tendo la ngono ni
sehemu iitwayo 'hippocampus', sehemu inayoweka matukio ya zamani ya
kiumbe. Sehemu hii hukuwa na kunawiri.
Kiufupi tunaweza kusema kuwa matendo ya ngono unayoyafurahia ukiwa miaka
ya 30 na 40 itasaidia kuongezea mawazo ya matendo ya ngono
uliyoyachukia wakati wa miaka ya 20.
Lakini katika utafiti huo kuna mambo ambayo hayakuwa sawa, kuna sehemu
fulani ya ubongo ambayo ukuaji wake ulikuwa duni, nayo ni 'ngono ya
uongo'. Ngono ya uongo ni kama kuangalia ilamu za pornography
kupindukia. Utafiti unaendelea kusema kuwa matukio yote yaliyowekwa kwa
kufanya tendo la ngono yatafutika baada ya kuangalia filamu za ngono
mno.
Huu ni utafiti sahihi kwani kuna ule msemo kuwa kuangalia filamu za
ngono kuna haribu akili, kunakufanya usahau mengi. Kwa hivyo kuangalia
porno nyingi kunakufanya uwe na mawazo duni." -FoxNews
Hebu sasa turudi kwa Nesi Mapenzi kidogo. Ok hivi wewe mara ya mwisho
ulifanya mapenzi lini? Na ni lini mwisho uliangalia filamu za ngono?
Ni mara ngapi ulifanya mapenzi na ni mara ngapi ulishaangalia filamu za
ngono? Iwapo kuangalia filamu za ngono imepita ile ya kufanya mapenzi
basi uko katika tatizo kubwa, tatizo la kupoteza uwezo wako wa kukumbuka
mambo siku zako za usoni.
Na kwa kutatua hili tatizo unachukua mkondo upi? Je unachagua kutulia
kuacha kuangalia filamu za ngono ama utaamua kuongeza kufanya mapenzi
ili kuongeza ushapu wako kimaisha?
Na kama umeamua kufanya mapenzi kwa wingi, je una mpenzi wa hakika ama
ni mpenzi wa kuotea, kesho anakupa kesho kutwa anakunyima?
Ok, kwa kutatua na kukusaidia kukupa mawazo...
Kwa wale ambao tayari wako na wapenzi thabiti (Wanaume Alpha) na wako
tayari kufanya mapenzi kila siku ili kukuza bongo zao bila kuchoka wala
kuboeka ingieni hapa.
Kuna wale ambao wana wapenzi wa kuotea, wale ambao hawana wapenzi
kabisaaa, na kila wakijaribu kutongoza wanashindwa, wanabakiwa kuenda
majumbani mwao na kujifungia chumbani huku wakiangalia filamu za ngono
na wakipiga punyeto. Kama unaamini kuwa wewe hauko miongoni mwa hili
kundi ingia hapa.
Ok. Kazi kwako. Ni wewe wa kuchagua iwapo utaamua kuendelea kuharibu
akili yako ama kuikuza akili yako ili upate ujuzi wa kijasiriamali
maishani.
No comments:
Post a Comment