Kabla hujaendelea kusoma chapisho hili, nataka ufahamu ya kwamba kuna
njia moja pekee ya uhakika ambayo unaweza kuitumia kuepuka kukataliwa na
wanawake katika dunia na miaka ya kisasa, nayo ni kukaa nyumbani na
kuepuka kutangamana na wanawake kabisa. Naturally
hakuna shangwe kwa hilo, so unapaswa kukubali kuwa kukataliwa kunakuja
wakati ambapo utaamua kuapproach mwanamke. Njia nzuri ya kueleza tatizo
hili ni kwa kukabiliana nalo mzima mzima. Mwishowe, kadri unavyozidi
kufanya mazoezi ndipo utakapozidi kuwa na mafanikio katika kuapproach
wanawake na kuwashawishi watoke out na wewe.
Hizi hapa ni mbinu tofauti tofauti ambazo unaweza kuzitumia kuwashawishi
wanawake watoke out na wewe na kuepuka kukataliwa na mwanamke kwa namna
yeyote ile.
#1 Makinika na timing yako
Hata kama wewe unavutia ama kupendeza mbele ya wanawake kiasi gani,
hutoweza kuwa na wakati rahisi wa kumfanya mwanamke avutiwe ama umfanye
akubali kutoka out na wewe kama hujua vile timing inavyofanya kazi. So,
utawezaje kufanya timing yako iwe bora? Utajuaje kama ni wakati muruwa
wa kumuapproach mwanamke kwa mara ya kwanza na kumtongoza? Unaanzishaje
gumzo na mwanamke? Well, kwa wale ambao ndio wanaanza kujua maswala ya
kudeti, unahitajika kwanza kujua jinsi ya kusoma vile miondoko ya
mwanamke hufanya kazi. Baada ya hapo, unaanza kutafuta ishara hakika
ambazo zitakwambia kuwa mwanamke fulani yuko tayari kuapproachiwa na
kutongozwa. Kama mwanamke hataonyesha dalili ama ishara zozote, basi
unaachana naye na kutafuta windo jingine.
#2 Mhusishe katika gumzo la kisawasawa
Kama unataka mwanamke atoke out na wewe, basi unapaswa kumfanya afall in
love na wewe kila dakika ambayo utakuwa unaspend na yeye. Kufanya hivi,
unapaswa kuanza na lengo katika akili yako kila wakati ambapo utaamua
kumuapproach mwanamke. Jiambie mwenyewe kuwa siku hii utamfagia mwanamke
kutoka miguuni mwake. Jiambie mwenyewe kuwa unaweza kumfanya huyu
mwanamke ajihisi kama wewe ni nusu wa moyo wake. Hii inaweza kuonekana
kazi ngumu kwa sasa, lakini si lazima iwe hivi. Unaweza tu kujiweka ama
kujifananisha wewe kama mwanaume asiyejulikana na ambaye amebobea
katika maswala ya kutongoza, na hakika kwa wale wanawake ambao
watakutana na wewe siku hio watakuchukulia kama wewe ni mwanaume bora
ambaye wameweza kukutana naye.
#3 Ipaze tenshen ya mapenzi
Kitu kingine ambacho unapaswa kufanya ni kumfanya mwanamke apandwe na
tenshen ya mapenzi kila wakati anapokuona – tenshen ya hali ya juu
ambayo itamfanya aitikie kila kitu ambacho utamuamuru kufanya. Kemia ya
kimapenzi ambayo inafanya kazi kama mzizi, ambayo unaweza kumfanya
mwanamke arushe mbali wasiwasi wake wote ambao anaweza kuwa anauhisi na
kumfanya afanye kila kitu ambacho unataka wewe. Pindi utakapofanikiwa
kuongeza level yake ya tenshen za kimapenzi, hutapata shida kwa
kueneleza ajenda zako vile unavyokusudia wewe.
No comments:
Post a Comment