Unaweza kuwa ni mzuri kitandani, na ni mrembo sana, na
tunaweza kuwa tunalala pamoja kila siku, na tunaweza kuwa tunakukumbuka
kila mara .
Hata hivyo, hio sio sababu ya kutosha ya kumfanya mwanaume
akuoe wewe. Ukweli ni kwamba ni kitu kingine kidogo sana , kama hakuna
kitu cha kufanya kutokana na hicho.
Sababu kubwa ambayo mwanaume huoa mwanamke hutokea nje ya
kitandani , au tuseme nje kama ya chumba cha kulala. Naona sasa
unashangaa jinsi gani sasa naweza kupata mwanaume wa kunioa ?
Rahisi sana, Wanaume wanaoa wanawake ambao wataweza kuwafanya kuwa bora.
Sio bora mwanaume.
Huanzia nje , wanapogundua bidii yako ya kufanya jambo
walipendalo, bila hata ya kuambiwa kufanya, kama vile usafi. Ina maana
ya ndani zaidi ya neno usafi. Hio huwavuta na kutaka kuchukua jukumu la
kutaka kukulinda.
Wanapenda kujua uko wapi, wanapenda kukujali wewe na
mazingira yako, mfano kujali usafiri wako, na kama umefika salama, kama
una gari. Na kuna vitu vidogo vidogo ambavyo hata haviwezi kufikirika
lakini ni muhimu.
Wanajali jinsi unavyojisikia , sio jinsi unavyoonekana
Kama mwanamke , unaweza kuwa unafikiria, Ni vitu vizuri na naweza kuvifanya! Lakini nitavifanyaje vitokee?
Ukweli uko pale , hakuna utakachoweza kukifanya kitokee.Hata kama utaruhusu vitokee.
Ni juhudi, Kwanza na kitu cha muhimu zaidi, ni kwamba,
mwanaume humpenda mwanamke ambaye anampenda. Yaani kama ukimpenda,
atakupenda. Lakini sio zaidi kama anavyojipenda yeye. Watu wengi huita
hilo ni ujasiri. Lakini ni zaidi ya hilo.
Lakini pia kitu cha kwanza cha kufanya ni kuruhusu upendo
utokee ndani yako; utajisikia vizuri na utaona kustahili kwa kujua
wewe ni nani.
Kuruhusu upendo maana yake ni kwamba, wakati anapokuwa
anacheki vitu vyako , kwa mfano gari yako simu yako, notebook yako,
mwachie. Anapotaka kuondoka na simu yako mwachie, badala ya
kumkatalia kwamba hawezi kushika na wala kuondoka na simu yako.
Kwa mwanaume kuwa mume bora, huhitaji nafasi na muda wa
kufanya hivyo, kwa kufupisha. Mwanaume huoa mwanamke anayemwamini na
kwamba atayafanya maisha yawe mazuri— na zaidi ya uzuri, Ruhusu hilo
litokee kwako
No comments:
Post a Comment