Usafi ni jambo kuu katika maisha ya mwanadamu lakini leo nataka
kuongelea usafi wa uke au ume, watu wengi hawajui kabisa kujisafisha na
wanatoa harufu ndio unaweza ukaisikia akikupitia ama usiisikie mpaka
pale atakapovua nguo ndio utakapogundua kwamba ananuka.
Naanza na wanawake, tumesoma sana kwamba mwanamke unapojisafisha
ukeni hutakiwi kuuingiza kidole na kujisafisha kwamba ni vibaya, sawa
nakubali sio vizuri lakini kuna njia nyingi sana za kujisaifsha ndani ya
K**** ambayo ni lazima isafishwe ili kutoa utoko na ugando uliopo
ndani, haifurahisi wewe kumaliza mzunguko na mtoto wa watu ukamuacha na
maziwa ya mgando katika uume kisa umeambia kujisafisha kuingiza kidole
ndani ni vibaya inahusu??????
Mwanamke lazima ujisafishe tena lazima ukifanya usafi uingize ndani
hata kama ni mara tatu kwa mwezi pia sio mbaya kama huwezi kujisafisha
kila siku unaogopa kuchubuka, kuna njia nyingi unaweza ukajisafisha na
maji ya baridi huku ukiingiza kidole ndani, unaweza kusaifsha kwa maji
kwa kutumia misuli ya K****** huku ukiyavuta ndani yale maji japo hii
inahitaji sana utaalamu na pia hii huwa nawashauri sana wanawake na
wanawake wengi sana wameifurahia hii ni kusafisha kutumia gozi na mafuta
ya ndimu.
Ndio mafuta ya ndimu na gozi kwanza gozi ni laini likilowekwa kwenye
mafuta na halikuchubui ukiwa unaingiza ukeni, na mafuta ya ndimu ni
dawa, inasafisha na pia kukuponya na kukukinga na infestion zote za huko
chini kama UTI na mengine kwahiyo hapa unapata vitu viwili kwa mara
moja unauuwa vijidudu na kujitibu na pia kujisafisha, na mafuta ya ndimu
hunukia vizuri na kukuacha kuwa fresh kabisa.
Nakuja kwa wanaume sasa na hii pia kama wewe ni mwanamke na umeolewa
uilewe na kumchunguza mumeo na umsaidie na wanaume msiwe wabishi yani
mwanaume mwengine ukimwambia kuhusu hili kama kasikia sijui ni nini
mbishi wakati ni kwa manufaa yake..haswa kwa nyie wenye hulka ya umalaya
msio weza kutulia na wake zenu tu.
Wanaume jamani huwa wananuka pia sehemu zao za siri haswa kwenye
gololi zao yani utakuta mwanaume akivua nguo yake ya ndani hali ya hewa
inabadilika sana au kwanini unadhani wanawake wanashindwa kuwapa blow
job ni kwasababu ya harufu mnazo nuka jamani.
Kwenye hizo gololi kuna vinyweleo haswa nyie mnaojinyoa ama kwa
mwanaume anayenyolewa na mkewe na labda wewe mwanamke hukujuwa, vile
vinyweleo katika mihangaiko ya kila siku inazalisha jasho na lile jasho
baadae huwa kama mafuta hivi meupe ndio yanayotoa harufu maana wanaume
wengi hawachukui muda kujisafisha vizuri uumeni na wakinyoa wengi
hawanyoi vizuri zile nywele za kwenye gololi ndio matokeo yake hayo.
Katika usafi pia mafuta ya ndimu huondoa kabisa ile shombo ya gololi
na kukufanya unukie vizuri na bila shombo ukishaoga unajipaka sehemu ya
uumeni na kwenye gololi kwenda chuni na mistari ya mapaja, utakuja
kuniambia kama utaliona hilo tatizo tena.
Tatizo ni kwamba mambo mengi tunafichwa siku hizi hatuambiwi ukweli
anyways mimi ndio huwaga tu namwaga mambo hadharani na nashukuru wengi
wamenufaika nayo, sasa basi kama unataka na wewe kujisaifsha kwa kutumia
haya mafuta ya ndimu nipigie huwa ninakuwaga nayo ni shs 10000 tu 0717
019320 na kama huwezi kuja pia nipigie utaletewa ulipo...USAFI NI MUHIMU
sana jamani.
Mtu unashindwa hata kuzungushwa cha dharula mume yupo mjini
anakupigia uende lunch japo akupe kimoja anashindwa maana lazima kwanza
utafute bafu ujitawaze ndio akuzungushe inahusu, au mwanamke unataka
kumpa mpenzi cha haraka hata kwenye gari kumlainisha tu kasheshe harufu
kama mvua samaki inahusu...hahahahaha
No comments:
Post a Comment