Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii.
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili:
Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi
cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia
kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili
wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia
kwenye swala zima la kuwahi kupizi. Hii hutokana na hutokana na
kuongeza kujiamini na kujihusudu.
Pumua vizuri na kikamilifu: Kiungo
chochote cha mwili huhitaji nguvu kamili ili kufanya kazi na ndivyo
ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi! Unapo pumua vizuri na kwa
ukamilifu, kiungo hiki hupata nguvu za ziada. Mbinu mbalimbali za
kupumua kama pranayama hujajwa kusaidia sana kujifunza jinsi ya kuzuia
kupizi mapema. Baada ya kuinza tu (wakati wa tendo), jaribu kupumua kwa
ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya kuanza kufanya msuguano.
Mshirikishe mwenzako kikamilifu:
Kuridhika kimapenzi ni tukio ambalo wote wawili mnaridhika kikamilifu.
Ili kujifunza kujizuia kukojoa haraka, ni vizuri kuwasiliana na mwenzi
wako wa kimapenzi. Anaweza akakusaidia kushinda tatizo hili la kiaibu,
kila unapohisi unataka kukojoa mapema, sema 'ngoja' na usitishe kwanza
shughuli zote kwa muda kidogo.
Pia kabla ya kwenda kuanza tendo kwa
mfano upo ofisini na unajua jioni unakwenda kugegeda basi jitahidi
usiwaze hayo mambo chukulia kama ni kitu cha kawaida. Hii ni kwasababu
kuongeza concentration ya kuwaza ngono inaongeza stimulation kiasi
kwamba ukiomgusa mpenzi wako tayari umekwishaachia hata kabla ya
kuingiza.
Pia angalia angalia style zenye
kuchochea kukojoa haraka kwa mfano mbuzi kagoma.... etc hii ni ngumu
kujizuia kukojoa hasa kwa bao la kwanza maana panakuwepo na constriction
ya hali ya juu very tighten kiasi kwamba ukigusa tu tayari ..so ni
vizuri style kama hizi zikafuata baada ya bao la kwanza ili uweze
ku-enjoy vizuri zaidi.
Fanya mazoezi ya kukojoa na kubana mkojo
mara kwa mara... hii ina maana kuwa unapokojoa mkojo unaachia then
unakatiza unaendelea tena alafu unakatiza tena . Fanya mara tatu kila
unapokwenda kukojoa. Hii ni muhimu kwa ajili ya kuongeza strength ya
misuli ya uboo na kupunguza relaxation yake ... njia hii imewasaidia
wengi na wamepona kabisa.
No comments:
Post a Comment