Sawa sikatai kwamba siku hizi tunaenda
na wakati,tunakuwa wabunifu ili kufanya tukio zima la kufanya mapenzi
linoge.Mikao ya hapa na pale..style za kila aina kama vilema vileee
mmh hii yote ni kuleta mzuka katika mapenzi lakini nakupa sababu moja
ya msingi ambayo inakubidi uendelee kutumia style hii (KIFO CHA MENDE)
1.Kwanza stlye hii utaijua maana yake
kama unafanya na mpenzi wako wa dhati kabisa na si mtu tu ambae umeamua
kufanya nae tendo la ngono.
2.Kufanya mapenzi ni njia nyingine kubwa
ya kudumisha uhusiano wako na mpenzi wako style hii inakufanya uwe
karibu sana na mpenzi wako wakati mna do...Style ya kifo cha mende
inakufanya upate nafasi ya kumkumbatia mpenzi wako wakati mnafanya
mapenzi,kumtizama usoni na kuona anajisikiaje wakati mnafanya
mapenzi(anakufeel),wanawake tuna kawaida wakati gemu imekolea tunapenda
kukumbatia kwa nguvu..kwa hiyo hapa utamvuta...utamkumbatia mpenzi
wako..utamng'ata kwa wale wanaopenda kung'ata,utamlilia kwa wale
wanaolia maaana kuna wengine mabubu hupenda
kufanya(kimyakimya)...utamwambia maneno yako yote kama
unaenjoy,unampenda,najua,hodari,anakufikisha...STYLE hii inaleteta
muunganiko mzuri kati yako na mpenzi wako tofauti na STYLE ZINGINE.
Style zingine mnafanya kuenjoy sasa wewe
umeinama mwanaume wako yuko nyuma unaweza hata kumtizama usoni wakati
mna do???unaweza mkumbatia wakati mna do??JAMANI KIFO CHA MENDE NDIO
BONGE LA STYLE kama ulikuwa haujui....ila wewe sema kama unalo???
No comments:
Post a Comment