Kuna tabia ambayo baadhi ya wanaume
wamekuwa waki wa lalamikia wasichana kuwa hawana mapenzi ya Kweli
wanapenda pesa tu,sasa minawapa dawa wanaume wenzangu ya
kufanya wanapokataliwa na wanawake kwa sababu ya kipato chao
kidogo,mwanamke akikuka taa kwa sababu huna pesa,usilalamike wala
kusononeka,unachotakiwa kufanya tafuta pesa kwa nguvu zako zote"focus
"kwenye malengo yako ya mafanikio mpaka ufanikiwe na wwe siku
ukifanikiwa ukiwa tajiri,wanawake maskini wakikushobokea wakijifanya
wanakupenda usiwakubalie na kamwe usikubali tena kuwa na mahusiano ya
kimapenzi na mwanamke maskini au mwanamke njaa wao si walikukataa
ulipokuwa huna kitu,na ukioa oa mwanamke tajiri usioe mwanamke maskini
wasije wakakurudisha nyuma kwa sababu wanawake wengi wanaopenda wanaume
matajiri hawajui "struggling" wanapenda short cut na hawana vision zao
binafsi za kufanikiwa zaidi ya kutegemea wanaume ndio wawatoe kimaisha.
Fanya kama alivyofanya Diamond Platinumz
alipokuwa hana kitu wanawake wazuri walimkwepa kama ukoma alipozipatatu
akawa gumzo kwa wasichana mjini,kila msichana anajifanya anampenda
Diamond Platinumz, alipokuwa hana kitu mbona walimtenga,ila nimemsifu
amechukua mwanamke tajiri tena kutoka nchi za nje, Zari the boss lady,na
wewe ukizipata oa hata mtoto wa Obama, kwanza ukifanikiwa ukawa tajiri
usioe kabisa mwanamke maskini wanawake wengine wana mikosi utafilisika
bure,na Rudi kwa wasichana wanaopenda wanaume matajiri na kuwapiga chini
wanaume wenye kipato cha chini.
Kama wewe ni msichana unapenda wanaume
matajiri na kushauri tu uache hizo tamaa zako kwa sababu kwanza
unatakiwa ujue wanaume matajiri wapo wa chache kwa hiyo sio rahisi
kuwapata wakakuoa ni bora ukomae tu na maskini wenzio ipo siku mnaweza
mkatoka, pili asilimia kubwa ya wanaume waliofanikiwa walikuwa na
wapenzi wao Tangu zamani, kuna usemi unasema "kila mwanaume
aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke shupavu" kwa hiyo wwe kama
msichana sio rahisi kuwapata wanaume matajiri wakakuoa labda wakutumie
tu kama chombo cha starehe,na choku washauri komaeni na maskini wenzenu
mtatoka tu shida zina mwisho wake mkiji tuma.
No comments:
Post a Comment