Mara nyingi tunashauriwa kukojoa kila
baada ya tendo la ndoa. Japokuwa wanawake wengi pamoja na kuwa na hamu
ya kwenda haja ndogo kila baada ya tendo ila kutokana na uvivu
na uchovu ujikuta katika usingizi mzito na kusahau tendo hili muhimu
baada ya kufika kileleni. Umuhimu wa tendo hili ni kupunguza na kuzuia
uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya njia ya mkojo(U.T.I) na
magonjwa ya zinaa(S.T.I)
Ikumbukwe kuwa tendo la ndoa huongeza
presha kwenye kibofu na kusababisha hamu ya kukojoa kila baada ya tendo
hali inayokuwezesha kuondoa vimelea vya magonjwa mbali mbali kabla ya
kusambaa kwenye kibofu na sehemu nyingine za mwili kusababisha matatizo
makubwa. kwa wanaotumia kondomo pia unashauriwa kufanya hivo endapo
itapasuka sambamba na kusafisha sehemu za uke na uume kwa maji safi na
sabuni.
kwa wanaofanya mapenzi ya mdomo(chumvini
na kulamba kone) unashauriwa kutoingiza shahawa, maji maji ya uke/ume
na damu mdomoni kwani kuna hatari kubwa ya kuambukizwa magonjwa ya
zinaa, ukimwi na hepatitis B.
No comments:
Post a Comment