Kwa kipindi kirefu nimejaribu
kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika
karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza
maadili ya Mwafrika au wana sababu zao nyingine...
Kwa utafiti wangu nimebaini kuwa zaidi
ya asilimia sabini na tano ya wadada wanaovaa nguo ndefu na pia wanaovaa
suruali wana usafiri mwembamba...
Orodha hii haijahusisha utafiti wa wale
wanaovaa mavazi kulingana na imani zao... Imehushisha tu wale wanaovaa
mavazi ya kawaida ambayo hayana muingiliano na imani yeyote...
Utafiti huu pia ukaendelea kubaini kuwa
wadada wenye guu za bia hupenda sana kuvaa visketi au magauni mafupi na
kuanika miguu yao hadharani...
No comments:
Post a Comment