Inawezekana likaonekana jambo geni na la kushangaza kidogo, lakini ukweli ndio uko hivyo.
Hili ni jambo ambalo wanawake wengi wangelipenda kufanyiwa na wapenzi wao lakini ambalo wanaume huwa hawalifanyi.
Wengi huwaandaa wanawake kwa lengo la
kuhakikisha kuwa wametepeta kwenye uke, kwa maana ya kuwa wamelainika
ili kuwezesha wao kupenya kwa urahisi, lakini wanawake wengi wangependa
zaidi ya hapo.
Ikiwa mwanaume utaweza kumfanya mwanamke
afike mlima Kilimanjaro na kutua mizigo yake kabla ya kumuingilia,
unajiongezea nafasi ya kumfanya afurahie lile tendo la ndoa zaidi na
kukuweka miongoni mwa wanaume walio bora kabisa wa maisha yake.
Hii humfanya awe tayari yuko kwenye hali
ya kuhitaji tu kuingia kwa uume wako aweze kupiga bao la pili, na hii
inamaanisha kuwa inaweza kuwasaidia sana wale ambao huwa wanakabiliwa na
tatizo la kufika kileleni mwa mlima Kilimanjaro haraka sana. Hata
ukipigwa bao la usoni sawa tu...Mruhusu!!!
#2 – Vumbua maeneo mengine yenye kumsisimua
Ndio, sote tunajua kuhusu matiti, kunyonya ulimi na mengine, lakini hadithi haitakiwi kuishia hapo tu.
Kama ambavyo wanaume wamezoea baadhi ya
maeneo yenye kuelezwa kuwa yanamsisimua sana mwanamke, ndivyo ambavyo
nao huzoea sana kusisimuliwa kupitia maeneo hayo.
Hii maana yake ni kuwa, unaweza kujikuta
unazama kwenye ile hali ya kuzoeleka sana, ambapo akikuona tu, anakuwa
tayari anajua huyu ataanza hapa, ataishia pale na atapofika mlimani
namna hii. Hili haliwezi kumsisimua mwanamke.
Mwili wa mwanamke, una maeneo zaidi ya
16, ambayo yakichezewa au kuguswa kiufundi wa kimahaba, huweza hata
kumfanya mwanamke huyo kukojoa kabla ya kuingiliwa.
Wangapi tunajua kuhusu A-Spot? .....
ufahamu vizuri mwili wa mpenzi wako, na uuzingatie wote kwa ujumla
wakati wa kufanya mapenzi naye, na hakika utakuwa shujaa wake.
Matiti yakisisimuliwa vizuri ni kiungo cha ajabu kwa mwanamke!
#3 – Usiwe kama kuku
Ndio, licha ya kuwa hapo awali
tunaambiwa kuwa ikiwa utaweza kumfanya mwanamke afike kileleni kabla ya
kumuingilia, unamjengea mazingira ya kufika kileleni haraka pindi
unapomuingilia, lakini haimaanishi basi uwe kama kuku au risasi, kwamba
ikishachochewa tu basi inachomoka kwa spidi isiyomithilika.
Mwanaume kudumu kwenye tendo kwa muda wa
kutosha, ni moja ya mambo yenye kumjengea heshima kwa mwanamke wake na
kumuona kuwa yu shujaa.
Sometimes, pumzi zako kitandani zinaweza
pia kutafsiriwa kuwa ni pumzi za mtaani, na kama kitandani hauko nazo
za kutosha, itakuwaje siku mmevamiwa mkiwa matembezini na watu
unaotakiwa kupigana nao?
Tofauti kubwa sana baina ya wanaume na
wanawake ni kuwa, wanaume wengi hujamiiana kwa minajili ya kufika
kileleni, ilhali wanawake hujamiiana kwa minajili ya kustarehe.
So, usiifanye starehe hiyo kuwa ya
dakika moja...lakini pia usiiifanye kuwa ya kukarahisha, kama ambavyo
wanaume wengi wanaamini kuwa kumsugua mwanamke uchi hadi akahitaji
barafu la kujikanda ili ipoe, ni ushujaa.
Nusu saa hadi dakika 50 ni muda muafaka
kabisa, na zaidi ya dakika 60, kwa wanawake wengi inaweza kuwaondolea
sence ya starehe na wakajiona kama wanalipishwa walicholishwa.
#4 – Maandalizi ya kumpa mshawasha wa kuihitaji
Ndio, wapo wanaume wengi tu wanaoweza
kujinadi kuwa wanajua kuwaandaa wanawake zao kwakuwa wanajua kuwanyonya
vi**mi, kunyonya matiti nk, lakini ukweli ni kwamba wengi hatuko hivyo.
Kama ambavyo nimetanabaisha hapo awali,
asilimia kubwa ya wanaume huwachezea wanawake sio kwa lengo la kuamsha
hisia zao kwa ajili ya kujamiiana, bali kwa minajili ya kuwafanya wapate
ule ute ambao utawarahisishia wao kuingia.
Kitu kikubwa wanachopendelea wanawake,
ni aina ya mwanaume ambaye anaweza kumfanyia vimichezo vya kumtia hamu
hadi ikiwezekana aanze kuulilia muhogo.
Jidai kama unataka kumnyonya ki**mi,
lakini usifanye hivyo, pumua usawa wa mdomo wa uke wake kiasi cha
kumfanya ahisi pumzi yako, mlambe mapajani...sio lazima kila siku iwe
kwenye tundu la uke.......
Haya ni baadhi ya yatayomfanya aanze kutamani kwani unakuwa tofauti tofauti, na ukiamsha hisia zake kwa namna ya kipekee.
Na hili basi ndilo lenye kupelekea umuhimu wa jambo jingine lifuatalo ambalo wanawake hulihitaji....cheki namba 5 hapa chini
Tumichezo kama hutu twa Manaiki Sanga tunasaidia...
#5 – Faida ya ulimi/mdomo kunyonyana
Inashangaza sana kwa kweli...wakati
wanaume wengi wamekuwa wakijisifia sana kwa kuwafanyia maandalizi wenza
wao, tafiti zinaonyesha kuwa, zaidi ya asilimia 70 yao wamekuwa
wakieleza kuwa wanafanya hivyo kwa kutumia tu vidole vyao.
Sawa na ambavyo asilimia 70 ya wanawake
walisema kuwa wanadhani kwa kutumia tu viganja vyao wanaweza kumfanya
mwanaume akasimama vya kutosha kuwaingilia.
Ukweli ni kwamba, hii sio sahihi kabisa.
Umepewa viungo zaidi kwa ajili ya
kumfanya mwenzako aweze kufurahia tendo la ndoa, na ikiwa unaweza
kuvitumia, kwanini unavibania bania ?.
Unaona kinyaa kwa mwenza wako au ni nini
hasa? Tumia ulimi wako, mnyonye kila mahali ambako unadhani ulimi huo
unaweza kufika na ukamfanya aseme "Oh...am going crazy"
#6 – Msisimue kwa kauli zako
Wanaume wengi sana huwa mabubu wawapo
kitandani wakihofia kuwa wapenzi wao watawafikiria namna gani vipi
wakisema sema wakati wanajamiiana nao...
lakini mbona wengine huwa wanaishia kupiga makelele wanapotaka kushusha mizigo yao?
Kama unaweza kushindwa kujibana kupiga
kelele wakati wa kukojoa, kwanini basi ujizuie kumpa maneno matamu
matamu wakati unaendelea kumstarehesha?
Nong'ona kwenye sikio lake, mweleze kiasi gani ni mtamu....hata zile oooh....sss....mmmm zako, zifanye sikioni kwake.....
wanawake huwa hawajisikii raha sana
wanapokuwa wanaguswa hata kwenye kitu gani wakati wa kujamiiana, ikiwa
mwanaume yuko kimya tuuu, utadhani dumwana ambalo linashangaa kilichoko
mbele yake.
Anakuwa hajui kama unaenjoy anachokifanya kwako au laa.
Ni sawa na wewe mwanaume, unajisikiaje
pale unapokuwa umemgusa mwanamke mahali fulani penye mzizi wa utamu na
akaanza kukwambia kwa ile sauti ya kipekee akisema "hapo hapo...hapo
hapo jamani raaaha"....
Epuka tu sauti yako isiwe ambayo itamfanya anywee kama alomwagiwa maji ya baridi ilhali alikuwa anakaribia kuanza kuelea angani.
Unaweza kumsifia hata kabla gemu halijaanza....
#7 – Jenga mahusiano ya macho yenu
Hivi, ishakutokea ukakojoa ukiwa unamtizama mpenzi wako machoni kwa muda wote wa tukio hilo tu la kukojoa?
Au kumtizama machoni moja kwa moja yeye akiwa anakojoa?
Kwa taarifa yako, hili ni moja kati ya mambo yaliyo na raha ya kipekee ambayo huwezi kuelezea kwa maneno.
Mawasiliano ya macho wakati wa
kujamiiana, huimarisha sana ile hali ya msisimko baina yenu na ikiwa
inatokea mwanamke uliye naye alishawahi kutokewa na mwanaume ambaye
wakati wanajamiiana alikuwa akimtizama usoni moja kwa moja, basi si
ajabu mtapomaliza akajitoa kimaso maso na kukuuliza "mbona ulifumba
macho wakati unakojoa", na hapa atakuwa akimaanisha kuwa kuna
ulichomnyima.
Mwanaume, jitahidi kubadili utaratibu wa
kila siku kuzima taa wakati mnajamiiana, acha taa ziwake wakati
mwingine, na zipo taa ambazo zenyewe tu kwa uwezo wa rangi zake,
huwafanya mjihisi mko dunia nyingine kabisa, kumbe ni kwenye kitanda
chenu kile kile ambacho kila siku mnakitumia.
Mazoea ni mabaya, lakini haimaanishi
kuwa hamuwezi kubadilika, na ikiwa unaweza kuongoza jahazi la mabadiliko
haya, akizoea hakika atakuwa akikufurahia zaidi.
#8 – Mzingatie baada ya kumaliza kujamiiana
Jambo moja ambalo wanaume wanafanya makosa, ni kumu-ignore mwanamke punde wanapokuwa wamemaliza kujamiiana.
Hawajui kuwa, huu ni muda ambao mwanamke
anakuwa yuko wazi mno kwao, muda ambao unaweza kumueleza lolote na
akakuelewa zaidi ya ambavyo angekuelewa wakati mwingine wowote ule.
Kimaumbile, wanawake hawakuumbwa kupoa haraka pindi wanapokuwa wamemaliza lile tendo la kuingiliwa.
So, unaweza kuwa umemkojolesha na
kumgusa kila angle ambayo unaijua, lakini kitendo cha kumkumbatia,
ukampiga busu na kumwambia "asante", huku ukimruhusu alaze kichwa chake
tu kifuani mwako kwa kupumzika, kina maana kubwa sana, iliyo sawa au
hata zaidi ya kitendo mnachokuwa mmetoka kukifanya.
Huu ni wakati wa kummwagia kila aina ya
sifa ambayo anaistahili, na ndio muda muafaka wa kumuandaa kuwa na hamu
ya wewe safari nyingine utapomhitaji.
#9 – Mpe fursa ya kuliongoza jahazi kwa niaba yako
Wanaume wengi sana wameumbwa kutaka kuwa
vinara kwa kila kitu, hata wanapokuwa kwenye kujamiiana, hupenda wao
ndio waongoze kila move.
Sio mbaya kwasababu wanawake nao wameumbwa kuwaongoza wanawake na hilo linaeleweka.
Ni kweli kuwa una wajibu wa kuhakikisha
unamgusa kila anapotaka, umfikishe kileleni anapopaota, lakini kwa
upande wa pili, kuna asilimia kubwa tu ya wanawake ambao wangependa sana
kupewa fursa ya wao kutawala dimba wakati wa mchezo.
Sio suala la kumwambia, leo mie nitalala
tu na kukuacha uhangaike na mhogo wangu unavyotaka, laa...atakuona
mdhaifu, uliyechoka au unayemsusia tu.
Kwa kutumia ile ile dhana ya wewe
kuongoza jahazi, hakikisha unatengeneza mazingira ya yeye kuutawala
mchezo na kuongoza mashambulizi kuelekea anakoona kuwa mshambuliaji
atafunga goli la msimu.
Wanawake wana-enjoy sana wanapoona kuwa
wanaume wao wamewapa mamlaka ya kutawala dimba, kwani hiyo huwajengea
fikra za kuwa wanaaminika kiuwezo, kiuchezeshaji na hata kiumaliziaji.
Wapo mfano wanawake ambao hupenda sana
kunyonya muhogo ya wapenzi wao hadi kukojoa, lakini anapotaka kujaribu
tu, unakuta janaume hilo, linamwambia aaah, mie sipendi hiyo....au
anamuacha ila akikaribia anaanza kumwambia acha nitakojoa .... si
umuache?
Kwani unadhani yeye hajui kuwa akikunyonya utakojoa ?.
Mpe nafasi, anyonye anavyotaka, hata
kama ni kukojoa, mkojolee mdomoni tu, maana yu ajua kuwa ndio mwisho
wake, lakini kwakuwa anataka umfanye, lazima atajua pia namna ya
kukurejesha askari wako awe mkakamavu.
Hata kama akitaka "akufanye" mruhusu tu...!!!
10 – Ondoa mazoea
Wanaume ni watu wa ajabu sana.
Wakati wanaweza kujisifia hadharani kuwa
naweza kumfanya hivi mwanamke, nikamgeuza vile, nikamnyanyua hivi na
vile, tafiti za kisayansi zinabainisha kuwa, asilimia kubwa ya wanaume,
huwa hawapendi sana kuwataka wapenzi wao kubadili staili wakati wa
kujamiiana.
Ndio, inawezekana mnatumia staili
mbalimbali, lakini sio kwasababu mnaambiana, bali kwakuwa unaweza kuta
leo imetokea mwanamke alijiteka kifo cha mende, basi utaendelea...kesho
akijitega mbuzi kagoma kwenda, itaendelea hivyo hivyo.
Uchunguzi ambao umethibitishwa na
wataalamu ni kuwa, wanawake huwapenda sana wanaume ambao wana uwezo na
courage ya kuwataka wabadili mikao wanapokuwa wakiendelea na game.
Ni kama mchezaji wa football vile,
anavyowasisimua watazamaji pale anapoanza ku-invent mbinu za kubadili
mchezo wakati mchezo ukiwa unaendelea.
Hata kubadili mazingira tu yaweza kuleta msisimko wa kushangaza
NYONGEZA AMBAYO NI KITU CHA MUHIMU SANA,
Kama ulidhani kuwa shukrani kwa mwenzako ni asante tu, basi ulikosea.
Hivi, unadhani wale makahaba wanaouza
miili yao kule huwa hawaambiwi asante kwa huduma zao? Wanaambiwa sana
tu, lakini mbona hawawakubali wale wote wenye kuwashukuru?
Shukrani kwa mwenza wako inatakiwa iwe ya kivitendo zaidi.
Ufanye mwili wako uonyeshe kuwa unashukuru kwa vile anavyokupa mwenzako, kabla hata ya kutamka kwa mdomo wako kumshukuru.
Kushukuru kwa mwili ni pamoja na kuwa
"gentle" wakati wa kujamiiana kwenyewe, na sio unakuta mtu unakazana
kumsugua mwanamke wako utadhani unadhamiria kuhakikisha kuwa unafidia
bia na vinywaji ulizomnywesha, au mahari kubwa waliyokulipisha wazazi
wake wakati wanakukabidhi (kama ni mkeo wa ndoa.
No comments:
Post a Comment