Swala la kukauka kwa uke mara baada ya mwanake kufika kileleni ni la kwaida kwa wanawake wengi na na sababu mbali mbali ambazo mimi nitakutajia kwa kifupi tu kamaifuatavyo:-
1-Mwanamke huitaji kunyegeshwa tena baada ya bao la lake la kwanza,
inategemea lilipopatikana kama kwenye Kipele G, Kwenye Kisimi, Mwisho
wa Uke au kuta za uke. Ikiwa amepata bao "via" kisimi hapo lazima
atahiji
muda
kidogo wa kupumzika kama dakika kumi 5+ kisha wewe mpenzi wake ni
wajibu wako kumnyegesha tena kwa kucheza na sehemu nyngine za mwili wake
mbali na Kisimi. Inaweza kuwa kum-busu, kumla denda huku
unamshika-mshika na kadhalika.
2-Mwanamke kuwa na uwezo mdogo wa kungonoana (low sex drive/libido) ni
wazi kuwa hamjuani hivyo yawezekana yeye yuko hivyo na mara baada ya
wewe kupiga bao la kwanza ksiha kurudi na "kumpigisha" yeye bao lake
ndio ilikuwa mwisho wa "game" mpaka kesho au labda wiki ijayo kama sio
mwezi mwezi ujao. Kama ulihitaji tena kwenda basi ulitakiwa kumfaya
aendelee kuwa "interested" kiakili nakimazingira zaidi ya kimwili na pia
ungepaswa kutumia kilainisho kwa ajili ya Condom au hata K-Y Jel.
3-Mwanamke kutokuvutiwa na ufanyaji wako, kama
ulivyosema kuwa ilikubidi uache nje-ndani, swala l a kungonoana ni pana
na sio kusimamisha kisha kupiga nje-ndani mwanzo mpaka mwisho >>(
Kuna wanawake kibao baada ya kibaruti cha kwanza inabidi uanze upya
kuwatuliza a.k.a kuwa NYEGELESHA. Dawa yake kwa wengi usikazanie NJe
ndani Nje ndani sana kama ushambarutisha tayari. Cheza sindimba au
msondongoma katika mduara bila kuvuta filimbi nje wakati unaASALISHA
mambo mengine!Baada yamuda kadhaa wakati unahisi au unasikia pumzi
fulani ndio endeleza pupa kama navyohisi unafanya.Hii hasa kama unacheza
mkao wa kimishenari ).<<
4-Mwanamke kutokuwa na mapenzi pia
inaweza kuwa sababu ya Uke wake kuwa mkavu mara baada ya zile nyege
mshindo kumalizika/kumtoka (baada ya yeye kufikia Mshindo), mwanamke
kama hana mapenzi huishiwa hamu ya kuendelea kungonoka haraka sana mara
tu baada ya bao lake la kwanza.
5-Kuchoka au Uvivu, mwanamke
kama kachoka au mvivu hali hiyo ya ukavu ukeni hujitokeza kwa vile
akili yake inakuwa haipo/haizingatii kilekinachofanyika bali saa ngapi
atapata nafasi ya kwenda kulala/pumzika.
Condom
huwa hazisababishi Uke kukauka tena japokuwa inashauriwa kubadili au
kutumia kilainisho kilichotengenezwa kwa ajili hiyo. Makampuni mengi ya
bidhaa hzi yanatoa mafuta maalum kabisa kwa ajili ya kukuongezea ile
hali ya ulaini amabo unakulinda wewe kwa kuzuia Condom
kupasuka/chanikakutokana na ukavu wa Uke na vilevile kumuongezea
mwanamke raha ya tendo.
Condoms
hazimsababishii mwanamke maumivu bali ile hali ya wewe kumfanya
mwanamke mwenye uke mkavu kwa muda mrefu ndio inasababisha maumivu.Ili
ufurahie Ngono basi ni vema ukatafuta mwanamke mmoja umpendae na yeye
akupende na mfanye tendo kwa ushirikiana na kumbuka ku-focus kwenye
kufurahia tendo zaidi kuliko kupiga mabao na mambo yatakuwa bomba
kabisa.
No comments:
Post a Comment