- Tafiti tofauti zimeonyesha kuwa wanawake wana sehemu za siri zisizofanana ambapo baadhi yake ni ndogo na zingine ni kubwa
Ni nini unachofahamu kuhusiana na uke?
Uke ni kiungo ambacho kinaaminika kuwaletea wanaume furaha na uchungu pia. Kiungo hicho kimetumiwa vibaya na baadhi ya wanawake.
DOWNLOAD APP YA SMS ZA MAPENZI. BONYEZA HAPA
Yafuatayo ni mambo kuhusiana na uke ambayo huenda huyajui.
Sehemu ya kinembe (ncha ya uke), huwa na seli nyingi za neva kuliko ilivyo eneo la ncha katika uume
Sehemu hii ndio husaidia wanawake kuvutiwa na wanaume na pia hufanikisha ngono.
Inafaa kuelewa kuwa upeo wakati wa kushiriki ngono ni mzuri kwa sababu
husaidia kupunguza kuumwa na kichwa kutokana na homoni ambayo husaidia
kupunguzwa kuumwa na kichwa.
Watafiti tofauti wameeleza kuwa mavuzi katika uke husaidia kupunguza
msuguano wakati wa kufanya ngono na kufanya mandhari ya kufanya ngono
kuwa mazuri.
Mavuzi pia husaidia kutega harufu ambayo wanaume hupenda sana wakati wa
kufanya ngono. Kulingana na watafiti, sehemu ya kinembe inaweza kurefuka
sana ikichangamshwa.

No comments:
Post a Comment