Watu wengi siku hizi huwa wanaanza kuiwaza wikiendi pale tu jua la jumatano linapokuwa linaanza kuzama.
Usije kuwalaunu watu hawa maana huwa ni kawaida.
Ni kawaida maana wikiendi ni siku ambazo watu wengi huweza kukutana
na wawapendao bila kuwa na mashaka au mawazo mengine ya kiofisi au
shughuli yoyote nyingine.
Mihangaiko na jinsi mambo yanavyokuwa bize kipindi hiki cha
kiutandawazi na maendeleo ni vigumu mtu kuwaza mapenzi hasa katikati ya
wiki.
Na huwa inatokea na ni mara nyingi wikiendi inafika ila unajikuta
haupati mapenzi ya kutosha kama vile moyo wako unavyokuwa unatamani
itokee, kwa wale ambao wangependa mambo mazuri ya kubomoa chaga za
vitanda yatokee wikiendi hi, hizi hapa ni njia za kufata ili ufanikishe
unayoyawaza.
1. Mnunulie mpenzi wako zawadi. Zawadi ni njia moja nzuri na inayoweza kukufanikishia mambo yako yakaenda utakavyo na kuvunja buyu la asali, tafuta
zawadi nzuri ambayo unajua atapendezwa nayo, iwe gauni zuri au mkoba
mzuri na mapenzi yaliyozidi kipimo yatakuwa yako mwisho wa wiki hii.
2. Mtoe mtoko sehemu nzuri. Wikiendi
hii inaweza kuwa wakati mzuri wa kumtoa kwenye mtoko msichana wako,
jaribu kutafuta sehemu nyingine tofauti na chumbani kwako na utaona
mafanikio ambayo yatajitokeza, mkitumia siku mbili kwenye hoteli flani,
mapenzi yatakuwa mengi kama vile mpo kwenye hanimuni, maana itakuwa
kula, kunywa na mambo yetu yakifuata katika kipimo ukipendacho wewe kwa
wikiendi nzima.
3. Umtaarishavyo vizuri kimahaba ndivyo utakavyo pewa mapenzi mengi na mazito zaidi. Je
wewe ni kati ya wale wanaohisi mapenzi ni kitendo cha uume kuingia
sehemu ya kike tu? Hapana, kitu cha kwanza unatakiwa umtengenezee hakshi
ya mahaba, mpeti peti umfanye apate hamu kwa kumtaarisha kwa hali nzuri na kwa mitekenyo inayohitajika, mtayarishe
bila haraka, mbusu mabusu ya hisia, mashavuni, kwenye midomo yake
telemka taratibu mpaka apate raha duniani na mpe maneno matamu ya
kumchanganya zaidi.Mambo yote haya ukiyafanya vizuri na ukamfanya apagawe hakika lazima na yeye atataka zaidi na wewe utapata yakutosha pia.
4. Mwachie Aongoze Mambo. Ukweli
ni kwamba wanaume wengi huwa hujiangalia wao tu, hawataki kusikiliza
japo hata kumuuliza mwenza wao naye angependelea nini, wanawake
wanapenda sana akipewa nafasi ya kuamua ni spidi gani itumike mkiwa
kitandani, kwa hio badala ya wewe kufanya bila kumuuliza mwenzio anataka
nini na mfanye mapenzi kwa staili gani, mwachie nae aamue, mwambie hii
siku ni ya kwake yeye, wewe kwake ni mtumwa tu, atatakacho upo kwa ajili
ya kumtimizi, muulize umshike wapi na umfanye nini maruhani yake
yapande, muulize angependelea kasi gani ya ufanyaji wa mapenzi,
mnongoneze maneno matamu ya kumpagawisha. Kama
akitaka yeye ndo awe juu, na wewe uwe chini mwache dada wa watu afanye
yake, ajifikishe mwenyewe apendako na kama ni kileleni, haya! jinsi atapokuwa anasikia raha na kufurahi ndipo atakapo hitaji zaidi na wewe mwisho wa siku kupewa zaidi.
Na hapo mpaka wikiendi iishe lazima uwe mwepesi kama bendera.
No comments:
Post a Comment