Mwaka fulani nilikuwa nimetembelea mkoa fulani kikazi. Tulipiga kazi
kama week moja nami nikaongezea siku mbili tatu kwa ajili ya kupiga kazi
zangu binafsi. Kazi za ofisi zilitubana kiasi ilikuwa ngumu kupiga kazi
binafsi.Tunaingia asubuhi tunatoka saa moja. Wale jamaa walikuwa
wapuuzi sana. Mtu ukitoka umekasirika na kuchoka hata huwezi kwenda
tafuta mabint wazuri wa kuwa piga mashine.
Basi zile siku za kazi "Yao" zilipoisha nikaongeza siku zangu tatu za kazi yangu.Haiwezekani unaenda sehemu halafu usiache chata. Mi huwa nakataa ..So kila mkoa nikitia team lazima nionje mabint wa huko wana test gan.. Of course nao wanapata test mbali mbali na style kibao toka town kama ile ya kitambaa cheupe, mwana ukome,mkwezi style,makinikia n.K
Basi nimekaa siku zile tatu boss akanipigia simu kuwa wenzio mbona wameshawasili kazini we mwenzetu upo wapi.Nikamwambia nimerudi ila tu nilikuwa najisikia kama malaria nadhani sababu ya safari.Akanambia basi kesho kutwa yake nisikose kwenda kazini hata kwa machela kuna kazi muhimu.Aisee... Hayo mazungumzo tumeyafanya nikiwa na mtoto mrembo tunapata matangazo toka kwa wadhamini....Basi nikamwambia anipeleke nikakate ticket ya kurudi dar kesho asubuh.
Kipindi hicho mabasi kuja dar yalikuwa ya kuvizia vizia sana. Kuhangaika nikapata bus seat ya nyuma kabisa.Basi kesho yake asubuh nikawah stand kuulizia bus husika nikaoneshwa... Daaah... Lile bus lilikuwa la kirume ndago hasa. Limechooooka... Kongofu ile mbaya.Hata sura ya bus tu ilikuwa inaonesha ni ya kukata tamaa... Nikaingia ndani.
Kucheck abiria wote wamejawa na huzuni, wamekata tamaa kabisa, wana stress,wana majonzi nikahisi nmevamia bus la watu wamekodi wanaenda msibani.nikaambiwa ndo lenyewe hilo hilo.moyo ukafanya paaaah....! ....Nikaanza kuona hili balaa sasa. Lile bus walikuwa karibia asilimia 90 ya abiria ni wazima hasa tena hawana furaha kama vile wanasafirishwa kwenda machinjoni. Nikatafuta mle ndani hata binti wa kupiga naye story sikuona...Nikaanza kuwaza hata ikitokea limeharibika njiani inabidi tulale siku mbili si itakuwa mateso sana? Maana mimi huwa nawaza mbali.Kuwa hata ikitokea watu mmepata breakdown basi awepo bint mzuri una buy buy time naye na hata unaweza mpiga na ukuni huko huko porini so safari inakuwa na faida.Lile bus lilikuwa limedorora sana.lina huzuni na majuto kuja kuendeshwa tanzania.
Halafu sasa halina tv wala radio.Ukicheck pale kwa dereva pamejaa oil na spana kibao. Pembeni kuna madumu mawili ya maji ya lita 20 kila moja.Then kuna kigogo cha kusimamishia gari mteremkoni. Ile safari ilianza nikiwa tayari nimeshakata tamaa... Kufika mbele nikagundua kumbe mle ndani nimepanda na magaidi. Hivi hivi nlishuhudia majamaa wakitengeneza mabomu.nikaanza kusali...
Jirani yangu alianza kama masikhara akatoa karanga za kuchemsha akawa anakula. Tumefika mbele akatoa mbichi akaanza kula. Tukiwa njiani kijiji flani wakawa wanauza mayai ya kuchemsha akanunua kama matano.Akayagonga nayo. Akanunua karanga za kukaanga akala.Nikaanza kuhisi hali ya hatari inatuji mle ndani. Kufika mbele zaidi akaona mahindi ya kuchoma anakanunua..
Akala akashushia na ya kuchemsha.
Hapo nikazidi kuwa makini namcheck jamaa anaelekea kutuua hivihivi.Nikiangalia watu wapo busy sana na kupiga misosi njiani.maana nikawaza pengine kuna mwenye ujasiri wa kumzuia jamaa mle ndani.hakuwepo. Jamaa akanunua na ndizi za kuiva akala. Baadaye mchana akaletewa na mkewe ugali na maharage na samaki wa kukaanga.Akagonga. Safari ikaendelea... Jamaa kuona maziwa ya mgando akaomba lita moja akanywa.hapa sasa nikawaza salaalah... Wallah humu ndani tutakufa tu.
Sasa hapo nikajua kinachofuatia muda si muda tutaaanza kuathirika mle ndani na hata kufa. Na jamaa aliendelea kugonga kila kinachokatiza mbele zake ili mradi pesa anayo.Ikajengeka hali ya sintofahamu mle ndani.Muda kidogo watu wakawa kama wamelewa kwa kushiba na kuvimbiwa..Maana asilimia kama 70 walikuwa wamelala..Wapo wanaokoroma, wanaoweweseka ,kuota ndoto za majinamizi n.k basi hapo ndo hali ya hewa ikaanza kuharibiwa. Watu wakawa wanatoa tu gesi...Nilibana pumzi mpaka ilifikia hatua nilitaka kuzimia..Bus zima linanuka tu ushuzi... Ile hali ilinitesa sana.Mbaya zaidi nimekaa siti ya mwisho. Basi ikawa kama watu wanashindana au wanalipana.Akitoa huyu gesi mwenzake anasubiria ikiisha naye atoe yake.nlianza kuhisi kizunguzungu na kichwa kuuma...hapo ndo nikaanza kuhisi ntakufa miye maskini....hivi hiv watu wanasambaza gesi za sumu ndani ya usafiri wa public.
Kila nikitizama wenzangu hamna anayejali.wanaendelea kugonga vitu.wanakula kitu njian.kama kuna cha kuchoma chake watakula,cha kuchemsha chake watakula,cha kukaa change kitaliwa yaani ilikuwa dhahma mle ndani.nmekaa kwa unyonge nahemea juu juu tu nikizungusha pua huku na kule kama mbwa anayetafuta harufu kupata fresh air pasipo mafanikio.nikaanza tu kutubu.
Nikitizama abiria tu wenyewe wamekunja sura ile mbaya hawana masikhara.. Watu wana huzuni.Masikitiko, uchovu. Na majonzi.Nikaona nami nina stress zangu sasa humu si ndo nitaongeza kabisa?Sura za watu hazina nuru...Yaani abiria tulikuwa tunasafiri utadhani tunaenda kunyongwa...Watu wakipokea simu zao kuongea na ndugu zao ni kushutumiana ,kutukanana na kulaumiana tu.Yaani ilikuwa kila kitu ni shida mle ndani.
Yale mambo yalinishinda nikashukia njiani mkoa wa katikati.nikasubiri bus nyingine kutoka mkoa mwingine zilizopita njia ile nikapanda ndo kuja kuingia dar night kali. Huwa nikikumbuka ile safari sina hamu. Safari nzima mimi ndo nilikuwa naonekana mambo safi, mimi ndo naonekana mshua..Imagine mpaka wananishangaa mwenyewe nikitoa juice za box ceres, cake na cookies. Huku nina chupa ya maji,candies na waist pack, masikioni nimeweka aerphone. Ile safari mpaka leo huwa nikikumbuka .... Usiombe.

No comments:
Post a Comment