Wadau kumekuwa na malalamiko mengi kuhusiana na mtindo wa maisha na
ufanyaji mapenzi wa kizazi hiki. ningependa kuwaambia haya ninayo yasema
kwanza ni kutokana na 1. Uzoefu (ambaye ni mwalimu mzuri sana) 2.
Kujisomea kutoka kwa wasomi mbali mbali wa Afya na Saikolojia.
binafsi nasema wazi kabisa. napinga kwa nguvu zote matumizi ya kinywaji au dawa yoyote inayosemekana kuwa inaongeza nguvu za kiume.
ikiwa hukuzaliwa nao ukosefu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo makuu kadhaa mbayo ningependa kuyaainisha.
1. saikolojia
2. ulaji mbovu
3. unywaji mbovu
4. maisha pasipo mazoezi
5. magonjwa
6. kujichua
7. matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu za kiume
1. saikolojia ni kwa sababu kitendo cha mtu kuwa na hamu ya kufanya mapenzi kinajengeka kwenye akili . ni saikolojia hii. na ndo maana mtu akiwa hata amekaa tu sehemu akafikiria kugegeda anasimamisha au anajiwa na hamu hiyo. hali hii huendelea hata wakati wa tendo husika. zile hisia ndizo zinazokufanya uweze kusababisha damu isukumwe kuelekea kwenye uume.hivyo kama damu yako haizuiliwi na kitu chochote kuelekea huko basi itaenda kwa haraka na kusababisha uume usimame kwa ajili ya kazi hiyo. lakini hili hutokea baada ya kufanyika kwa mawasiliano na ubongo. ubongo kuelewa kuwa damu hii inapaswa usukumwe kuelekea sehemu husika na si mguuni au kusukumwa kwenda sehemu nyingine. hivyo hisia kwa huyo mpenz wako ni kitu cha kwanza kukufanya utamani kufanya naye mapenzi.
na katika hili ukitaka kufanya mapenzi kwa muda mrefu pia ni wewe kucheza na hisia. nlishawahi kusema kuwa hata kitendo cha kumaliza kinahusisha hisia. kunakuwa na umeme ambao unapita toka kwenye uume hadi kwenye ubongo na ukikata connection uume unaweza kulala hata ukiwa ndani ya Uke na hujamaliza. chukulia mfano una sex halafu ghafla ukasikia mtoto wako ametoa sauti kubwa sana ya kilio kama amepatwa na ajli kubwa sana. au ukasikia mtu mzima anaingia analia anasema mama yako amefariki.ukilipokea hilo haraka utakuwa umekata mawasiliano ya kwenye uume na ubongo na hivyo damu itaacha kutiririka kwa nguvu kwenda huko na hivyo utalala.
sasa ili kuepuka kumaliza haraka wakati wa tendo unaweza cheza na hisia zako.usi concentrate sana kwenye kitendo..usiwe deep.. usiwe na hamu ya kumaliza. unaweza wakati flani ukahamisha mawazo kaisi toka kwenye tendo ukahamishia kwenye jambo flani na usiache mawazo yakae huko kw amud amrefu ili uume usije ukalala moja kwa moja... ukiwaza hilo rudisha tena mawazo kwenye tendo.
umewah kuudanganya uume kuwa umemaliza?
ukiwa ndani ya uke. ukikaribia kumaliza hebu achia kidogo halafu bana... fanya kama unavyokojoa mkojo wa kawaida ule wa mwishoni kabisa au chomoa uume na piga piga nje...then rudisha.ukimaliza kwa kukata kata... usitue mzigo hali hii unakuwa umeudanganya uume... hivyo unashindwa kuelewa kama umemaliza au unaendelea..so unajikuta hauachi ku pump damu kuja chini.nawe usiache kuendelea ku pump ndani ya uke. usiamini kuwa umemaliza..endelea kuamini kuwa bado.utjikuta uume haulali.
hli suala ni saikolojia.. kw amaana ya kuwa kinachosababisha uume ulale baada ya kumaliza ni saikolojia yako. kama umepania sana na kuhitaji sana kumaliza utamaliza kama hutaki kumalzia ukawa una ahirisha utajikuta unaendelea bila kumaliza au ukimaliza kidogo unaendelea tena humo humo..
Nini Mchango wa mwanamke wewe kumaliza haraka, kutomaliza au kuendelea baada ya kumaliza?
kuna mwanamke ana hamasisha sana.. unamwona anaye anavyo enjoy tendo na kukuhamisha kwa maneno na matendo.. huyu ana faida na hasara zake.
ukipata mwanamke wa namna hiyo unaweza jikuta unamaliza ndani ya dk 5.maana anakupa hisia kali sana nawe kwa kusikia ile sauti anayotoa unapata hisia kuwa una piga game sawa sawa na hili linakujengea hamu ya kuita waarabu.. sababu unajisikia raha sana kwa kuwa anajisikia raha. hii inasababisha umalize mapema. ila kama ni mjanja ukimaliza usiache au maliza kidogo.. bana sperms usimwage... then endelea kupiga game/endelea kupump. hii ni faida kwako.
mwanamke akiwa dull. au anakwambia "bado hujamaliza? fanya haraka basi nataka niondoke" inawezekana usimalize au ukalazimika kuvuta hisia ukamtumia Joyce kumalizia kwa Havijawa.maana tayari Havijawa anakutoa kwenye Mood so unaanza kumfikiria Joyce au dada mmoja mzuri anayevutia ndo unampachika pale.. ili umalize. lakini pia kauli mbaya zinaweza kukufanya usitamani tena kuendelea kufanya... inakatisha tamaa...
2. ulaji wa mavyakula ya mafuta au wanga kwa wingi(kukosa sperms) nao ni tatizo. protein ndiyo inayoleta hamu ya kufanya mapenzi asikudanganye mtu kuwa kula ugali mkuuuuubwa inatosha. na ndo maana hata chips si nzurio pia sababu hizi zina mafuta mabayo hana msaada sana isipokuwa kama unaweza convert mafuta yawe energy mwilini. hapo linakuja suala la mazoezi. mafuta yanasababisha kuzibwa mirija inayosukuma damu kwenda kwenye uume... hivyo damu haiendi kwa kasi au inaenda kwa shida na hivyo inasababisha usisimame kinyama/imara. unakuwa umelega lega au ukimaliza kuurudisha tena inakuwa ngumu.tupunguzeni kula vyakula vingi vyenye mafuta au ulaji uliopitiliza wa vyakula vya wanga.
3. unywaji wa pombe ( unawez akukupa hali ya kutomaliza haraka kwa sababu ya akili yako kutokuwa sawa sawa ku connect hisia za kusimamisha,kusex na kumaliza hivyo wengine hutumia pombe kali ili asimalize) madhara ya hii ni kuwa taratibu unajimaliza kisaikolojia.. itafikia kipindi bila kunywa pombe flani huwezi kufanya.. na unaamini pombe hiyo ndo inayokusiadia. hili ni tatizo. ukipata game ya haraka haraka na hakuna pombe karibu unacheza chini ya kiwango.. hii inakuwa ni kama daw aya ko ya kuongeza nguvu.
wakati huo huo unywaji wa pombe husababisha pia mtu asiwe na hamu ya kufanya mapenzi .. hasa zile pombe zinazosababisha mafuta mwili au kunenepa. lakini si hivyo tu hata yale mawzo ya kuwaza kitendo chenyewe pombe huwa inayaondoa na hivyo unajikuta unaweza kuwa na hamu ila ukapiga moja tu na ukalala fofofo.. sababu hakuna muendelezo wa hisia tena kati ya uuume na ubongo. na pia zile zenye kusababisha unene zinaleta mafuta ambayo yataaenda zipa mishipa ya damu.
4. kutokufanya mazoezi ni tatizo lingine.. mwili unakosa kuchangamka.. damu inakosa kuwa sharp.. na hili ni tatizo kubwa sana kutokana udhaifu mwingine wa kuw ana vitambi n.k mwili unakosa nguvu ya kufanya kwa muda mrefu lakini si hivyo tu bali pia hata usukumaji wa damu hauwi vizuri kutokana na mafuta kwenye mishipa au tu unyongefu wa mwili kutokuwa active...
5.
6.
7.
Halafu Nitaendelea.....................
1. je lipi bora kupiga bao nyingi? kwa sisi wanaume
2. kupiga bao moja kwa muda mefu kwa sisi wanaume
3. wanawake wanapenda wao wapige bao nyingi
4. wanawake wanapenda wachukue muda mrefu kupiga bao moja?
5. uanaume ni kusex na mwanamke kwa muda mrefu il hali yeye hana hamu
6. uanaume ni kumridhisha mwanamke hata ndani ya dk 10 tu?

No comments:
Post a Comment