suala moja ambalo lazima tukubali tunapokuwa kwenye mahusiano ni kuwa
tumetoka katika tamaduni mbili tofauti tukaja kukutana kutengeneza
utamaduni wetu.kama sikurekebishwa na wazazi wangu wewe unapaswa uwe na
hekima/busara ya tofauti kudhani unaweza nirekebisha. na vile vile
napaswa nijue nawe umeumbwa kwa mfano wako mwenyewe.siwezi kukufanya uwe
kama mimi na kama ambavyo huwezi nifanya mimi niwe wewe.
umewahi kuwa na mpenzi mwenye matusi,mgomvi,kisirani,mswahili n.k? ambaye hataki kukubali kuwa ameshindwa sababu itaonesha yeye ni dhaifu? huyu anaweza kukukosea ila akakugeuzia kibao kukutafutia wewe makosa au kukuangushia wewe kosa?wapo.
dada mmoja alijikuta akiambulia kipigo kikali sana kutoka kwa mumewe kwa sababu katika kubishana kwao ikatokea mume alimchapa kibao mwanamke. naye mwanamke hakutaka kubaki nyuma... alimpiga mume teke kali sana kwenye mapumbu. yule dada anasimulia anasema ilikuwa kama amemjeruhi nyati au katibua kichaa cha mumewe.alipata kipigo ambacho hawezi kukisahau kwa miaka mingi ijayo.mpaka alipokuja kufanikiwa kuuna mlango kwa kudra za mnyaazi tu ndo kuponea chupuchupu. alikimbia umbali kama wa kilomita 5 pasipo kugeuka nyuma akidhani jamaa bado anamfuata.
kisa kikubwa ni ubishani,matusi na maneno ya jazba. wanaume kiukweli kwa asilimia kubwa hatuwawezi wanawake kwa matusi na maneno ya kejeri.hivyo kuna uwezekano mkubwa sana katika maneno hayo mtu akachapwa kibao. sasa mwanamke kwa nini ufikie hatua hiyo mama? epuka maneno ya ghirba,husda,unafiki na kibri kwa mpenz wako.ubaya wa maneno huwa hayarudi tena yalikotoka. umekasirishwa na mumeo au mpenzio ukaamua kusema "ndo maana we kibamia..mwanaume utakuwa wewe" trust me.inawekazana mkaja suluhisha huo ugomvi..ila hilo kovu kwa huyo mwanaume haliji kufutika labda tu itokee waka format memory card yake kichwan.
ya nini malumbano? vita vyatoka wapi? kama mwenzio unafaham ana hasira basi epuka mikingamo isiyo na sababu na mara itokeapo omba suruhu yaishe ili baadaye mje mjadiliane mkiwa katika akili timamu. unajua wataalamu wanasema mnapokuwa na hasira mioyo hutengana sana na kutengeneza umbali ambao huwafanya ingawa mpo karibu mzungumze kwa sauti ya juu sana. sababu kunakuwa na distance ambayo imesababishwa na mioyo yenu kutengana. na mnapokuwa na mapenzi kati yenu kuna kuwa na ukaribu(closeness) mkubwa sana kiasi kwamba mnajikuta mnaongea taratibu sana na mkaelewana na kusikilizana.
chonde chonde... dada zangu msiwatukane waume zenu.msiwapige mateke kwenye mapumbu yao. na nyie wanaume... una akili timamu kweli kumpiga ngumi na mateke mke/mpenzio?mwanamke hapigwi kwa fimbo wala ngumi. anapigwa kwa ukuni.

No comments:
Post a Comment