Mwenzenu najiona tofauti tangu mpenzi wangu anitambulishe rafiki yake
nimetokea kumpenda sana rafiki yake yaani its love at first sight mpenzi
wangu yuko poa sana lakini naona sasahivi sijui tumezoeana sana maana
kila saa ni ubishi na ushindani hakuna kusikilizana.
Kugombana kila wakati kwa vitu vidogo inafikia wakati siku hata tatu zinapita hatuongei sasa nimeichoka hali hii nikaa chini na mwenzangu nikajishusha ili twende sawa lakini cha ajabu mwenzangu akaniona mimi mjinga eti ananiuliza nitaomba msamaha mpaka lini?
Nikaamua nitulie tu ili niende nae sawa sasa naona yeye sasahivi ndo anakuwa mnyonge baada ya mimi kupiga sana story na rafiki yake yaani shemeji yangu kwasababu yeye hatupigi story kivile.
Na shemeji yangu ni very charming tunachat tunapigiana simu sasa weekend iliyopita nilikua nimekaa zangu bar moja hivi mitaa ya Chang'ombe nikamuita mwenzangu aje tuchill tunywe kidogo then tusepe lakini akaniambia hawezi kuja yupo kwa marafiki zake anapiga story nikasema poa.
Ikabidi nimcheki rafiki yake nae akaniambia yuko around Chang'ombe nikamualika nilipo na kweli akaja tukawa tunakunywa na kupiga story nikawa namuelezea matatizo ya rafiki yake cha ajabu akawa ananipa moyo kwamba yataisha.
Tukanywa mpaka mida ya saa nne usiku tukawa tunarudi huku tunapiga story kufika njiani mkojo ukawa umembana na mitaa ile hakuna sehemu za kujisaidia nikamwambia akakojoe tu kwenye kichochoro kwenye kona ya kwenda kwao akasema hawezi mkojo umembana sana basi tukatembea kidogo ghafla nikaona kapandisha gauni lake fupi akavua chupi akakojoa mbele yangu huku ananiangalia usoni anacheka cheka kilevi, akafungua pochi akatoa tishu akajifuta akavaa chupi tukasepa.
Basi kitendo kile kilinisisimua sana mwili kusikia ile sauti ya mkojo ukianguka chini na jinsi anavyoniangalia nikamsindikiza mpaka kwao nikarudi kulala na mawazo basi tangu siku ile ninamfikiria yeye tu kila wakati yani na yeye amezidisha ukaribu na mimi kiasi kwamba hadi nataka tuvunje ushemeji.
Ananiomba tutoke tena kama sitajali kwasababu huwa anapenda kampani yangu dah nipo njia panda.

No comments:
Post a Comment