Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Saturday, March 24, 2018

Sitosahau siku niliporudishiwa hela zangu na Malaya

Wakuu habari zenu, nisiwachoshe twende kwenye stori.

Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012 majira ya saa sita usiku, kipindi naishi Temeke, wakati nipo zangu gheto nikiwa natafakar ni vipi mipango yangu ya kutafuta hela kesho yake ningeitimiza, ghafla hali yangu ilibadilika baada ya kushindwa kudhibiti hisia zangu juu ya ngono. Kwa muda kama wa dakika 20 zilinitosha kufikiria ni wapi ningekwenda kukidhi haja zangu, nikajikuta najisemea "wacha niende Sokota".

Kweli nikachukua simu yangu na hela kidogo ya matumizi na kuelekea Kisuma - Sokota. Baada ya kuwasili Kisuma nilikaa nje sehemu lilipo pooltable na kuanza mawindo. Nikaangaza kwa muda na kugundua mabinti wengi wapo maeneo yale lakini huwa wanapita na kwenda kusimama kwenye gesti ambayo pembeni yake kuna [sehemu wanaziba pancha na kujaza upepo matairi] na pembeni yake kuna uchochoro. Nikasema ngoja niingie kwenye huu uchochoro, hapo nilikutana na mabinti wengi tu, kwa muonekano wangu jinsi nilivyo wengi walikuwa wakiniita "mpemba" na vile nilikuwa mchangamfu basi kila mmoja akawa anasema "njoo nikuhudimie mpemba".

Nikaangaza angaza na kukutana na binti mmoja ambae makinikia yake yako njema na hata sura nikamuomba akanipe huduma, kwa makubaliano. Binti akakubali na kutaka 25000. Kidume nikasema hakuna shida akanishika mkono na kuniambia twende gesti, kufika gesti nikaambiwa lipia chumba 5000, kidume nikalipa na kuingia kwenye uwanja, sio siri yule binti alikuwa yupo vizuri sana lakini na mimi alinikuta nipo vizuri, gemu likachezwa baada ya dakika 15 akaniuliza vipi bado nikamjibu bado, gemu likaendelea hadi dakika ya 25, akauliza tena, nikamwambia bado tulia tumalize, wakati tunaendelea na gemu mara muhudumu wa gesti nae kagonga mlango na kusema " muda wenu umekwisha" moyoni nikasema sawa.

Gemu likaendelea kuchezwa hadi kufika dakika ya 35 nikaona binti kanyanyuka kitandani mzima mzima na kuanza kuwaka "we mtu gani dakika 35 zote huja *joa tu?!" nkamwambia punguza jazba, au nikuongezee hela? akasema haa, ghafla nikaona yule binti kafungua mlango na kutoka nje bila hata cost wala jeans yake aliyokuwa kavaa dah! Nami nikanyanyuka kitandani huku mpira ukining'inia kwenye mkuyenge binti yule alikimbilia kwa muhudumu huku akisema "mwanaume gani huyu, mi nimemshindwa nusu saa nzima bado tu" nikamsihi basi njoo tumalize, binti akakataa katakata. Nikamwambia " Njoo uchukue nguo zako" binti kakataa, wakati najisemea kimoyomoyo " huyu binti kanikatisha utraam" ghafla nikashtukia nimegongwa na kitu usomi kisha kimedondoka chini, kuangalia kumbe zilikuwa hela, nikazihesabu 25000, nikasema itakuwa zile hela nilompa. Yule binti nikamrushia nguo zake kisha nikarudi ndani, nikachomoa ule mpira na kuvaa nguo zangu.

Binti unaambiwa alivaa nguo zake na kutokomea, wakati nilipotoka nje ya ile gesti, unaambiwa kila malaya niliemfata akawa ananikimbia kumbe yule binti bana aliwasimulia wote. Basi nikajisemea kimoyo moyo "haina haja ya kuhangaika bora nikalale" nikarudi zangu gheto na kulala. Unaambiwa hadi leo hii nikitimba maeneo yale wanaonifahamu hawajisogezi kwangu wala kuniomba wakanihudumie
Ila kwa kweli hii sintoisahau. Bahati nzuri ni kwamba pia sahv nimeacha hiyo tabia.

ONYO:

"Ukimwi upo na unaua, play safe"

No comments:

Post a Comment