Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Sunday, April 22, 2018

NITAJUAJE KAMA MWANAUME NI BIKIRA...??


Mambo mengi yamesemwa kuhusiana na bikira kwa wanawake. 

Tumekua tuki tukiambiwa na kufundishwa jinsi ya kumtambua mwanamke mwenye birika na bikira.
 

Ningependa pia kujua ni vipi wadada watajua kama mwanaume ni bikira au sio. 

Ni mambo gani na tabia zipi zinazoelezea bikira yake ili tuthibitishe kua ni bikira au la ?

No comments:

Post a Comment