Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Friday, April 20, 2018

True Story: Nampenda Binamu Yangu Sana Hasa Kimapenzi.


Ni takriba miaka 10 baada ya kutoonana na mtoto wa shangazi my cousin wa kike, ghafla napewa namba yake na kuanza mawasiliano ya hapa na pale na ujinga ujinga juu mpaka ikafikia na kunitumia picha zake jinsi alivyo kuwa na hata zingine akiwa nusu uchi, ofcourse ni mzuri sana kiumbo kiasi nimefikia namtamani kimapenzi ila nashindwa kuhusiana nae kimapenzi japo na yeye ananishawishi tufanye hivyo kwa siri.
Nifanye nini kwa hali kama hii ?
UMEICHEKI HII ? About Love# Fahamu kwanini watu wengi hupoteza hamu ya kujamiiana..Soma Hapa

No comments:

Post a Comment