Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Tuesday, June 12, 2018

Bikra Zinapotea Siku za Sikukuu, Wazazi Mnachangia Kuharibu Hiki Kizazi

Habari za mida wakuu mbalimbali
Leo siku ya Sikukuu ya IDDI Mchana nimejionea jinsi vitoto vya kike vinavyo randa randa mtaani kwetu vimejiachia balaa, Yaani watoto chuchu SAA alafu wanaita hatari ila nimegundua wasichana wengi huanza mahusiano kama siyo kubikiriwa siku kama za Leo za sikukuu kwani wengi wanapewa nafasi au kuruhusiwa kutoka bila kuchungwa basi unakuta msela wa jirani hapo kashapewa ahadi anakwenda kubatua kitu bila hiyana
Ewe mzazi unamwachiaje binti mdogo azurure na ilhal una jua kashavunja ungo ?

Tuweni makini na mabinti zetu jamani

No comments:

Post a Comment