Kila mwanaume anapenda kujiita yeye ni rijali hata kama hana sifa hizo
na kama anazo habainishi urijali wake ni wa daraja gani. Kimsingi
maelezo yafuatayo yanabainisha aina za marijali na madaraja yao.
1: Rijali kamili kamili, huyu anauwezo wa kukaa juu ya kifua cha
mwanamke na kupampu mfululizo kwa takribani dakika 45 hadi saa moja
dakika hizo ni za kusugua K na si vinginevyo, kimsingi hawa ndio
wanaofaidi mapenzi.
2: Rijali kamili, mwanaume aliye kwenye kundi hili anakuwa na uwezo
kukaa juu ya kifua cha mdada na kusugua K kwa takribani kati ya dakika
21 hadi 44. Huo muda ni wa kazi bila ya kuhesabia muda wa romance .
3: Rijali nusu, huyu anauwezo wa kukaa juu ya kifua cha mdada na kusugua
K kwa takribani kati ya dakika 10 hadi 20 ,kimsingi wanaume wengi
wapokatika kundi hili.
4: Rijali dhaifu ; huyu ana uwezo wa kukaa juu ya kifua cha mwanamke na
kusugua K kwa takribani kuanzia dk 5 hadi 9 na hana uwezo wa kupita muda
huo kwani huwai kukojoa .
5: Rijali koko ; hawa mara nyingi wanawai sana kukojoa huweza kukaa
juuya kifua na kusugua K kwa takribani kati ya dakika 2 hadi 4 na
wanakuwa wameshafika kileleni . Kundi hili ndilo lenye shida zaidi kwani
wapenzi
wao huishi nao kwa kuwavumilia tu.
Kimsingi mwanaume unatakiwa kuhesabu dakika mara tu unapoanza kupampu
hii itakusaidia kujua upo kundi gani. Wanaume wengi waliopo kundi la
tano, nne na la tatu wanaweza kusaidiwa na wapenzi wao ili kuingia
katika kundi super la kwanza na la pili kwa kufanya yafuatayo.
Moja mwanamke anatakiwa kupiga kelele sana na kwa sauti pale anapoona
mwanaume anakaribia kufika kileleni, kelele hizo zitamfanya kidume koko
hicho kushtuka hivyo mshtuko huo utamfanya aanze tena upya kusugua
vargina.
Lakini njia ya pili ambayo inatumiwa na wengi ni ile ya mwanamke kupanua
makalio ya mwanaume pindi anapoona mwanaume anataka kufika
kileleni.Kitendo hicho kinasaidia kuruhusu hewa kuingia katikati ya
makalio hadi tumboni hivyo kusababisha baridi kwenda kupooza sehemu za
ndani hivyo kuzuia mbegu kughairi kutoka, mdada anatakiwa ashike makalio
ya mkaka vizuri na kuyapanua kwa nguvu ili hewa iingie kwa wingi.
Lakini njia ya tatu ni mwanamke kuamua kuruka na kumsukuma mwanaume kwa
ghafla kana kwamba ameona kitu cha hatari hivyo mwanaume hatafika
kileleni kwa wakati ule.
Njia ya nne ni mwanamke kuamua kuchomoa uume na kuupekecha pekecha pindi
mwanaume anapotaka kufika kileleni, hii njia ni nzuri kwa sababu
mwanamke anatakiwa ashike uume kwa mikono.yote miwili na kuupekecha
pekecha kwa muda kadhaa na kuuingiza tena hii njia inaweza kumfanya mtu
akatoka kutoka kundi la mwisho hadi la pili lakini hawezi kuingia kundi
la kwanza.
Wewe mwenyewe unaweza kujitathmini upo kundi gani na kama wewe ni mdada
unaweza kujua mpenzi yupo kundi gani na ungehitaji kumsaidia hadi afike
kundi gani kwa kadiri ya uhitaji wako. Je wewe upo kundi gani na
unahitaji mpenzi wako atumie mbinu gani ili akubuust na kama ni mwanamke
mpenzi wako yupo kundi gani na mbinu unaona inafaa ya kumboost
No comments:
Post a Comment