Mwanamke mmoja Italia, aitwaye Luara Mesi mwenye miaka 40 ameshangaza
wengi baada ya kufanya maamuzi ya kufanya sherehe ya harusi kisha
kutangaza kujioa mwenyewe tofauti na utaratibu wa ndoa za kawaida
ulivyo.
Ameeleza kuwa amefanya hivyo baada ya kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi
kwa miaka 12 bila mafanikio na amegundua kuwa furaha yake haihitaji
uwepo wa mwanaume kwenye maisha yake ili ikamilike na hivyo akaamua
kufanya hivyo kwani mtu anahitaji kujipenda mwenyewe.
“Niliiambia familia yangu na marafiki kuwa nikifikisha miaka 40 na
sijapata mpenzi wa kunioa nitajioa mwenyewe na nimetimiza hilo na kama
siku za usoni pia atatokea mwanaume wa kutanga kutengeneza maisha na
mimi nitakua tayari pia.” – Luara Mesi
Saturday, June 9, 2018
Huyu Hapa Mwanamke Aliyeamua Kujioa Mwenyewe
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment